Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Naona umeamua kuchukua nafasi ya 'Magonjwa mtambuka, au YEHODA au Kawe Alumni', kama siyo wewe uliyekuwa ukiyatumia majina hayo!

Umejipambanua kwelikweli safari hii!
Wewe takataka, nimegundua ni taahira. Usiniquote tena. Mbweha.
 
Tatizo la SAMIA anataka awe tofauti na Magufuli lakini bado una uvuguvugu,hajionyeshi yupo upande upi bora Magufuli alijulikana ni dikiteta basi kwa badaye Watu wangetafuta njia ya Kudeal naye.
 
Ufisadi haufutwi wala kumalizwa duniani. Hapa si peponi au Mbinguni. Ni kama kusema magonjwa yenye tiba yaishe. That'd be a pipe dream.

Kwa wenzetu makini kama US et al, ufisadi ukitokea unashughulikiwa kikamilifu na wakosaji hupigwa hatua stahiki za kisheria. Fuatilia hatma za Watergate scandal na global financial crisis ya 2007-2008 uone kazi iliyofanyika.

Sio hapa kwetu wizi ni top secret ya Ikulu na serikali yake. Rais hakosolewi wala haguswi na sheria; yuko juu yake. Badala ya kushughulikia ufisadi, serikali inaendesha vita dhidi ya whistleblowers na wote wanaofichua maovu wakiwemo wapinzani - eti ni wasaliti, wanachafua sifa ya taifa, wamekosa uzalendo and such bs, etc. Huwezi kukuta ujinga kama huo US na kwenye nchi makini. Kule RSA Zuma yuko jela saa hizi akifuatilia taratibu za kisheria. Fujo za wafuasi wake zimezimwa na kukemewa na wengi, weupe na weusi.
 
Ni maiti pekee ambazo hazijihusishi na siasa
Kiuhalisia ni manazi wa CCM na serikali ndio hupenda kudai kuwa hawana interest na siasa, vyama vya siasa wala wanasiasa. Watakwambia wao kwao ni utaifa mbele! Akili za ajabu sana hizi. Hata mtu ambaye hajaenda shule anajua hakuna hesabu ya aina hiyo.
 
[emoji1787][emoji1787]Ha ha ha kwa hiyo huko Kanda ya ziwa ,mwenyekiti wake Erthrocyte wala hana heshima anayomsifia humu ndani ?!!
Nipo kanda ya Ziwa. Usiongee usiyoyajua.
 
Wewe takataka, nimegundua ni taahira. Usiniquote tena. Mbweha.
EeeenHeee Heee.

Umepata stahiki yako, na nimeridhika kwamba ujumbe umefika barabara kama nilivyotegemea.

Baada ya kufahamu kwamba wewe ni mmoja wa wale niliowataja hapo juu sioni sababu tena ya kujadili na wewe chochote, kwa sababu huna lolote la maana ninaloweza kujadiliana na wewe mchumia tumbo.

Lakini sikuachi bila ya kukupa ukweli wako: Your days are numbered, and that's why you're desperate.

Mama hatawavusha safari hii, ni lazima muondoke, au takataka kama wewe muondoke ndani ya chama hicho.
 
Tatizo la SAMIA anataka awe tofauti na Magufuli lakini bado una uvuguvugu,hajionyeshi yupo upande upi bora Magufuli alijulikana ni dikiteta basi kwa badaye Watu wangetafuta njia ya Kudeal naye.
Na kiuhakika "watu walishapania ku'deal naye", liwalo na liwe!

Lakini Mungu ni mkubwa, kaamua apishie mbali shari yote.
 
Aisee, una umri gani ?

Kwahiyo wewe una cheo gani hapo Chaggadomo?
 
Na kiuhakika "watu walishapania ku'deal naye", liwalo na liwe!

Lakini Mungu ni mkubwa, kaamua apishie mbali shari yote.
Watu akina nani ?!!!

Usituingize sote....

Usiwaingize Watanzania wote kwa idadi yao kubwa.....

Watanzania wa hali ya chini ni wengi na ndio kipenzi kikubwa cha JPM.....

Sema ninyi CHADEMA.....

"Hao watu usemao ni ninyi...huko UFIPA"
 
Huu ndio msimamo wangu

Raisi Samia Katiba ya Tanzania sio ya Raisi, wala CCM, wala Upinzani, ni ya Watanzania wote na huna mamlaka nayo. Kuapa kuilinda sivyo unavyofikiria

So wananchi gani wanataka katiba na kuandamana Sasa. Mara corona Mara mikusanyiko.

Unataka chanjo ya lazima, corona inaua. Unasema imeua kaka yako. Badala ya kutulia Sasa. Ndo unaita makongamano. What a bundle of contradictions.
 

What is Democracy for you. Una kazi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…