wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
Nyerere alikuwa mkristo iweje mtoto wake aitwe Jina hilo?"Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere alikuwa mkristo iweje mtoto wake aitwe Jina hilo?"Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣Kwa hiyo unadhani kulembua ndio kupata mabwana?View attachment 1859765
Ulitaka ashabikie tozo?Masikini ni mtu pekee anayeshabikia mambo ya kisenge kama wewe
Katiba iliyopo ni bora.....Be smart. Maisha bora hayawezekani nchi inapoongozwa na mafisadi wanaokomba Hazina bila kuhojiwa, wanakopa mabenki ya biashara kugharamia miradi ya maendeleo halafu wanalazimika kutwisha wananchi kodi na tozo kubwa kubwa bila kubanwa kwa vile Bunge limejaa “wateule” wao.
Kama huwezi kuona maana na umuhimu wa katiba bora itakayowezesha kuwepo kwa utawala bora kwa maisha bora ni ngumu kueleweka.
Huyu anataka kuivuruga Amani ya hii nchi akamatwe mara mojaMwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa wiki hii.
Akiongea kwa kujiamini na kwa msisitizo mkubwa huku akiwa kavaa kofia maarufu ya ukombozi, Laingwanan Mbowe kama anavyofahamika huko kwa Wamasai, amesema kwamba ikiwa kufanya makongamano ya ndani ya Kudai Katiba mpya ni uvunjifu wa katiba basi waanze kumkamata yeye leo hii.
Kama mlivyowatuma wale wapumbavu bungeni kuleta tozo.Ni wakati mmoja tu Watanzania wanaweza kuwatuma watu kuwasemea juu ya Katiba - linapoundwa Bunge la Katiba
Kwa kifupi ni taarifa kwa Polisi ili wao wajipange kwa usalama nakutoa ushauri wanamna ya eneo latukio.Mtu anapozungumza lazima uelewe hoja yake ni ipi. Msingi wa kauli hiyo ni kwamba sheria zetu zipo wazi kufanya mikutano ya hadhara inaruhusiwa na inatakiwa kuwajulisha polisi tuu.Jeshi la Polisi halitoi kibali kwenye mikutano ya kisiasa wanapewa taarifa tuu na ndiyo sheria zetu . Sheria ni za nchi si za vyama au Rais acha ujinga
🤣🤣Hao ni wazee wa "pang'ang'a"Ety kofia maarufu ya ukombozi 😂😂😂 Chadema mnajua kuji-brand vizuri
Mambo yakisenge yalifanywa na Mwendawazimu, na kwa bahati mbaya kawaambukiza UKICHAA wake MaCCM wote. Mpo mpo tu na bi,Chokochoko wenu mpunapuyanga tu. Pumbavu kabisa.Masikini ni mtu pekee anayeshabikia mambo ya kisenge kama wewe
Mambo yakisenge yalifanywa na Mwendawazimu, na kwa bahati mbaya kawaambukiza UKICHAA wake MaCCM wote. Mpo mpo tu na bi,Chokochoko wenu mpunapuyanga tu. Pumbavu kabisa.
Mbowe ametumia ujinga wa wanachama wake kujijengea mazingira mazuri ya kimaisha na kisiasa. Pia ametumia umasikini wao kama silaha au njia ya kuuza utu wao kwake. Wengi ni njaa ndo zinawasumbua.🤣🤣
Yaani kama Mdude Nyagali na baadhi ya "popoma wa bavicha" wangelijua hilo....WANGEMKIMBIA MH.MBOWE ha ha ha ha WAJINGA NDIO WALIWAO.....
Mwambie huyo KICHAA mwenzio aache kutukana, au MaCCM mkitukana ndio TOZO zinajenga SGR?!Bwashee matusi hayatakuletea katiba mpya...
Karibu sana kijanaEty kofia maarufu ya ukombozi 😂😂😂 Chadema mnajua kuji-brand vizuri
Nngekuja ila sina habari na vyama vya siasaKaribu sana kijana
Umetolea mfano muungano wa ULAYA(EU)...
Nami nautolea mfano muungano wa MAREKANI(US)...huu ulikuwa wa SHURUTI....kamwe hautovunjwa eti kwa sababu baadhi ya MAJIMBO hayaridhishwi na mfumo wao....
Muungano wetu ni wa kipekee ,pamoja na kero zilizopo bado WENGI WA PANDE ZOTE wanaridhishwa nao KIMASLAHI.....kurekebishwa kero zilizopo hakuhusiani na IDADI YA SERIKALI ZILIZOKO!
Ni maiti pekee ambazo hazijihusishi na siasaNngekuja ila sina habari na vyama vya siasa
Bingwa wasiasa tz na afrikaMbowe is the best, anajua wakati gani atumie hekima hata kama wengi watamuona muoga, na wakati gani atumie nguvu, huyu chairman namuelewa sana.
Sasa kama vyama vyote havieleweki.?Ni maiti pekee ambazo hazijihusishi na siasa