Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Be smart. Maisha bora hayawezekani nchi inapoongozwa na mafisadi wanaokomba Hazina bila kuhojiwa, wanakopa mabenki ya biashara kugharamia miradi ya maendeleo halafu wanalazimika kutwisha wananchi kodi na tozo kubwa kubwa bila kubanwa kwa vile Bunge limejaa “wateule” wao.

Kama huwezi kuona maana na umuhimu wa katiba bora itakayowezesha kuwepo kwa utawala bora kwa maisha bora ni ngumu kueleweka.
Katiba iliyopo ni bora.....

Ufisadi kamwe hautatoweka juu ya mgongo wa ardhi....kazi ya serikali zote ni kupambana/kupunguza ufisadi.....

Pamoja na US kuwa kinara dhidi ya ufisadi ,bado hawajaufuta....rejea kashfa za WATERGATE ,kashfa za mdororo wa uchumi(economic recession) 2008 na makampuni yao ya LEHMAN BROTHERS,AIG et Al!
 
Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa wiki hii.

Akiongea kwa kujiamini na kwa msisitizo mkubwa huku akiwa kavaa kofia maarufu ya ukombozi, Laingwanan Mbowe kama anavyofahamika huko kwa Wamasai, amesema kwamba ikiwa kufanya makongamano ya ndani ya Kudai Katiba mpya ni uvunjifu wa katiba basi waanze kumkamata yeye leo hii.

Huyu anataka kuivuruga Amani ya hii nchi akamatwe mara moja
 
Mtu anapozungumza lazima uelewe hoja yake ni ipi. Msingi wa kauli hiyo ni kwamba sheria zetu zipo wazi kufanya mikutano ya hadhara inaruhusiwa na inatakiwa kuwajulisha polisi tuu.Jeshi la Polisi halitoi kibali kwenye mikutano ya kisiasa wanapewa taarifa tuu na ndiyo sheria zetu . Sheria ni za nchi si za vyama au Rais acha ujinga
Kwa kifupi ni taarifa kwa Polisi ili wao wajipange kwa usalama nakutoa ushauri wanamna ya eneo latukio.
Hivyo Polisi wanatakiwa kujibu tumepokea taarifa yenu.
Waende kulinda au wasiende ninamna ya mkutano unalenga nini.

Hata mikusanyiko ya kwaya hutoa taarifa Polisi wanakuwa wapo
 
Alianza vizuri lakini keshawavuruga wapiga kura kwa kuwalazimisha wachajwe wote.
 
Masikini ni mtu pekee anayeshabikia mambo ya kisenge kama wewe
Mambo yakisenge yalifanywa na Mwendawazimu, na kwa bahati mbaya kawaambukiza UKICHAA wake MaCCM wote. Mpo mpo tu na bi,Chokochoko wenu mpunapuyanga tu. Pumbavu kabisa.
 
Bwashee matusi hayatakuletea katiba mpya...
Mambo yakisenge yalifanywa na Mwendawazimu, na kwa bahati mbaya kawaambukiza UKICHAA wake MaCCM wote. Mpo mpo tu na bi,Chokochoko wenu mpunapuyanga tu. Pumbavu kabisa.
 
🤣🤣
Yaani kama Mdude Nyagali na baadhi ya "popoma wa bavicha" wangelijua hilo....WANGEMKIMBIA MH.MBOWE ha ha ha ha WAJINGA NDIO WALIWAO.....
Mbowe ametumia ujinga wa wanachama wake kujijengea mazingira mazuri ya kimaisha na kisiasa. Pia ametumia umasikini wao kama silaha au njia ya kuuza utu wao kwake. Wengi ni njaa ndo zinawasumbua.
 
Umetolea mfano muungano wa ULAYA(EU)...

Nami nautolea mfano muungano wa MAREKANI(US)...huu ulikuwa wa SHURUTI....kamwe hautovunjwa eti kwa sababu baadhi ya MAJIMBO hayaridhishwi na mfumo wao....

Muungano wetu ni wa kipekee ,pamoja na kero zilizopo bado WENGI WA PANDE ZOTE wanaridhishwa nao KIMASLAHI.....kurekebishwa kero zilizopo hakuhusiani na IDADI YA SERIKALI ZILIZOKO!

Twende pole pole mkuu. Haya hapa chini ni kweli kutokea kwenye uliyoyaandika na niliyoyaandika:

1. Muungano wetu ni wa nchi mbili zilizokuwa na uhuru kamili.
2. Muungano huu ni kwa maslahi ya nchi zote mbili.
3. Muungano huu ni kwa ridhaa ya wananchi wa nchi mbili hizi.
4. Muungano huu hata sasa unayo ridhaa ya wananchi wa nchi mbili hizi.
5. Muungano huu ni wa hiari wala si wa shuruti.
6.Ni jambo la kawaida kuzipitia kero zilizopo kwenye Muungano kama wa kwetu tokea pande zote mbili ili kujiimarisha.

Pana tatizo lolote popote hapo?
 
Back
Top Bottom