Uko nje ya mada mkuu.
Ulichoandika hapo ni katiba unayoitaka wewe. Wengine nao wanataka tofauti.
Kwenye hali kama hii kiungwana:
"Utaratibu huwa mazungumzo, maridhiano na kura ya maoni huamua kwa kutoa ridhaa."
Tulipo ni kwenye kutaka mchakato wa katiba kuanzishwa kwa sababu kuna wanaoona kuna mapungufu ya msingi.
Kwanini nyinyi kuinyanyapaa hatua hii? Kwani kama hatua hii hamuitaki basi haiwahusu. Yanini basi kuishadaddia hivi?
Kwani inawawasha vipi basi hali haiwahusu?
Bwana
Jumbe Brown mwongozo wako tafadhali.