Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Naona leo DJ,alikuwa kwenye stage kuburudisha wafuasi wa Chama chake,Yetu macho,walishapima kina cha maji wakakiona kinawawezesha kuvuka

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Mjue tu kuna delta variant, na Mbowe ameshachanjwa sasa nyie nendeni mkakongamane yeye anajua pa kujitibia🤣🤸🐒
 
Nchi ya kipuuzi sana....wananchi wake wanajadili katiba yao polisi wanawakamata shubaamit
Mkuu hapo ndipo hawa walinda usalama ninapo washanga!! Watu wapo kwenye kongamano, wajadili mustakabali wa maisha yao kwa kupitia KATIBA MPYA wewe unatimua tena kwa silaha za moto!!
HAPENDEZI
 
Hivi huwa kuna haja gani ya kuwavamia na kuwakamata watu wanaojadiri mambo ya siasa bila kutishia uvunjivu wa amani ya watu na mali zao? Huu woga wa Serikali chanzo chake ni nini?

I thought CCM na Serikali yao walijifunza the last time Lissu anarudi Nchini. Acha watu waandamane/wakutane/wateme nyongo zao na wafanye yao kisha warudi makwao kwa amani. Is that too difficult to understand?
 
Utakuwa unalambwa sana msambarabwanda wewe kwa uwandishi wako tu inajionyesha...Tayari ufunguzi longitaim
Mwanaume anayemshabikia mwanaume mwenzie kama wewe na huyo aliyeandika uzi ni lazima awe ameshaliwa tu huwezi mshabikia mwanaume hivyo akuacha salama
 
Kauli hizi ambazo ni kwa mujibu wa sheria na katiba iliyopo, ndizo ambazo huwa tutaelewana:

IMG_20210719_153711_587.jpg


Aboubakar Mbowe hautakuwa peke yako. Wakitaka waibadili Kirumba stadium kuwa "a make shift" gereza.

Hii nchi ni yetu sote. Tufuate sheria na katiba. Hayupo mwenye kutaka shari.

Pole pole tutafika tu.
 
Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe , Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza , ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima , huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa wiki hii .

Akiongea kwa kujiamini na kwa msisitizo mkubwa huku akiwa kavaa kofia maarufu ya ukombozi , Laingwanan Mbowe kama anavyofahamika huko kwa Wamasai , amesema kwamba ikiwa kufanya makongamano ya ndani ya Kudai Katiba mpya ni uvunjifu wa katiba basi waanze kumkamata yeye leo hii .


View attachment 1859633
🤣🤣Yaani mh.Mbowe unamfananisha na mtemi ISIKE ?!! duuh watake radhi WANYAMWEZI.....

CHADEMA na mwendelezo wa CHOKOCHOKO kama zile zinazoendelea AFRIKA YA KUSINI....

Cha ajabu pamoja na AFRIKA YA KUSINI kuwa na katiba wanayoitaka CHADEMA(kipengele cha kumshtaki Rais wa nchi) bado hakikuwazuia KUFANYA VURUGU baada ya mh.Zuma kupelekwa rumande.

HII INAMAANISHA NINI ?!!!

Utamaizi kuwa katiba tuliyonayo haina matundu ya kurekebishwa Kwani CHADEMA hawawezi kuridhika na katiba yoyote ile.....kubwa lao ni kuingia tu IKULU NA KUTUTAWALA WATANZANIA....

Tusidanganyike na CHADEMA
Tusidanganywe na CHADEMA

#KatibaIliyopoNiNzuri
#TuacheChokochoko
 
Kauli hizi ambazo ni kwa mujibu wa sheria na katiba iliyopo, ndizo ambazo huwa tutaelewana:

View attachment 1859710

Aboubakar Mbowe hautakuwa peke yako. Wakitaka waibadili Kirumba stadium kuwa "a make shift" gereza.

Hii nchi ni yetu sote. Tufuate sheria na katiba. Hayupo mwenye kutaka shari.

Pole pole tutafika tu.
🤣🤣Aboboubar Mbowe anajidanganya tu....

Watanzania wanataka hali Bora za maisha yao kama vile kuchukizwa na hii tozo ya fedha mitandao ya simu ambayo inakwenda kuondolewa....

Katiba MPYA ni kelele zisizokoma za kikundi kidogo cha wanasiasa.....
 
Police wao wameshatoa waraka wao?

Nasubilia waraka wa Maafande tulinganishe uzito unaangukia wapi
 
Mbowe is the best, anajua wakati gani atumie hekima hata kama wengi watamuona muoga, na wakati gani atumie nguvu, huyu chairman namuelewa sana.
🤣🤣Hana lolote huyo....

Mbona hakujitokeza pale UBUNGO kipindi kile baada ya uchaguzi wa 2020?!!

Nilitegemea awashauri wanawe wa kuzaa kumwakilisha katika yale MAANDAMANO MFU?!!!

Wanawe hawakujitokeza....

Na wala hawajitokezi katika makongamano na maandamano anayoitisha yeye na CHADEMA....

Ha ha ha wanasiasa hawa laghai sana.....
 
Back
Top Bottom