Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua unamsemeaMwamba mwenyewe Freeman Mbowe , Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza , ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima , huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa wiki hii .
Akiongea kwa kujiamini na kwa msisitizo mkubwa huku akiwa kavaa kofia maarufu ya ukombozi , Laingwanan Mbowe kama anavyofahamika huko kwa Wamasai , amesema kwamba ikiwa kufanya makongamano ya ndani ya Kudai Katiba mpya ni uvunjifu wa katiba basi waanze kumkamata yeye leo hii .
View attachment 1859633
Aboubakar Shekau wa NigeriaSi huwa mnasema hakuna corona na kama ipo tuonyeshe jirani hata mmoja aliyekufa kwa covidMjue tu kuna delta variant, na Mbowe ameshachanjwa sasa nyie nendeni mkakongamane yeye anajua pa kujitibia[emoji1787][emoji1732][emoji205]
Ila we jamaa unapenda kulambisha Mambo Moto daah, halaf eti mtemi isike cjui nn cjuiMwamba mwenyewe Freeman Mbowe , Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza , ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima , huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa wiki hii .
Akiongea kwa kujiamini na kwa msisitizo mkubwa huku akiwa kavaa kofia maarufu ya ukombozi , Laingwanan Mbowe kama anavyofahamika huko kwa Wamasai , amesema kwamba ikiwa kufanya makongamano ya ndani ya Kudai Katiba mpya ni uvunjifu wa katiba basi waanze kumkamata yeye leo hii .
View attachment 1859633
Nchi imejamba kwa kuwa inaviongozi wapumbavu na wenye mafaili Mirembe.Nchi ya kipuuzi sana....wananchi wake wanajadili katiba yao polisi wanawakamata shubaamit
🤣🤣Aboboubar Mbowe anajidanganya tu....
Watanzania wanataka hali Bora za maisha yao kama vile kuchukizwa na hii tozo ya fedha mitandao ya simu ambayo inakwenda kuondolewa....
Katiba MPYA ni kelele zisizokoma za kikundi kidogo cha wanasiasa.....
Kibao kimegeuka Tanganyika sasa inatawaliwa na ZanzibarNchi imejamba kwa kuwa inaviongozi wapumbavu na wenye mafaili Mirembe.
Lini na wapi nimesema hayo? Mimi mpaka niliumwa na nimetoa ushuhuda humu !Si huwa mnasema hakuna corona na kama ipo tuonyeshe jirani hata mmoja aliyekufa kwa covid
Mkuu acha upopoma 🤣Kibao kimegeuka Tanganyika sasa inatawaliwa na Zanzibar
Mama wa makunduchi anapanga toza uzalendo anavotaka mamaqe!Mkuu acha upopoma [emoji1787]
TANGANYIKA haipo!!
TANGANYIKA ilishazikwa....
Mtakumbushwa mara ngapi bwasheee?!!
Kweli ametokea MAKUNDUCHI....kwani huko ni Likoni Kenya?Mama wa makunduchi anapanga toza uzalendo anavotaka mamaqe!
🤣🤣Hana lolote huyo....
Mbona hakujitokeza pale UBUNGO kipindi kile baada ya uchaguzi wa 2020?!!
Nilitegemea awashauri wanawe wa kuzaa kumwakilisha katika yale MAANDAMANO MFU?!!!
Wanawe hawakujitokeza....
Na wala hawajitokezi katika makongamano na maandamano anayoitisha yeye na CHADEMA....
Ha ha ha wanasiasa hawa laghai sana.....
Stop insults. Kama una hasira na mtu au huna cha kuchangia kwenye mada kaa kimya. Unajidhalilisha.mleta mada yaani unavyomsifia mbowe atakuwa kishakulamba nyuma siyo bure
Mkuu hoja zetu ni zilezile:Chawa wa Mama kwenye ubora wako.
Tatizo hoja, nondo, au points zenu ni zipi za kuwapinga wengine kudai katiba mpya?
Kwanini mnakereka mno mkisikia katiba mpya? Angalau mngekuwa mna address hilo.
Kwani nyie kama hamna haja nayo kwanini kuwanyanyapaa wanaoitaka?
Hivi hata nyie wenyewe hamjishangai?
Chadema tuhurumieni wafuasi wenu kwa kweli.
Punde tu mama ametoka kutufikiria punguzo la tozo za kizalendo ghafla Mbowe anawaambia polisi atafanya mikutano nchi nzima wakitaka wamkamate.
Yaani mwenyekiti wa Chadema anatangaza kuvunja sheria hadharani kisha siye na akina Mrangi tutaombwa michango ya wakili wa kumtetea.
Ufipa acheni hizo bhana.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kweli mkuu...Stop insults. Kama una hasira na mtu au huna cha kuchangia kwenye mada kaa kimya. Unajidhalilisha.
CHADEMA haikuhusu wewe mtafute Madelu muongee nae tukutane DK 45 leo usiku kama kitarushwaChadema tuhurumieni wafuasi wenu kwa kweli.
Punde tu mama ametoka kutufikiria punguzo la tozo za kizalendo ghafla Mbowe anawaambia polisi atafanya mikutano nchi nzima wakitaka wamkamate.
Yaani mwenyekiti wa Chadema anatangaza kuvunja sheria hadharani kisha siye na akina Mrangi tutaombwa michango ya wakili wa kumtetea.
Ufipa acheni hizo bhana.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kwa hiyo Tanzania mnaishi kwa hisani ya Rais?Chadema tuhurumieni wafuasi wenu kwa kweli.