Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Mbowe hahamasishi wafuasi wake kuvaa barakoa hivyo ni sehemu ya Tatizo, nadhami mama apige marufuku ya mikutano ya kisiasa kwani ni chanzo cha kusambaza Corona
Habari yako rafiki yangu Kimla
 
Mbowe ni mwenzetu huyo hatuna tatizo nae kwa sababu anaturahisishia kazi ya kuwajua wapinzani wa kweli na wasiokuwa wa kweli. Sema watakaounga tela eti wanamuunga mkono mwenyekiti ndo itakula kwao, maana imeandikwa kila mchuma janga hula na wa kwao. Kumbuka wakati wa kuanzisha vyama vingi kulikuwa na makubaliano maalum kati ya watu wa vitengo na wenyeviti wa vyama vinavyoitwa vya upinzani. Kwahiyo kwa mwenye akili tayar ashajua Mbowe ni mtu wa aina gani ndan ya chama, ukijumlisha na kilichotokea mwaka 2015 kumleta Lowasa na Sumaye ndan ya chama.
🤣🤣Umenikumbusha kilichomkuta komredi Mdude Nyagali....yaani huyu jamaa anapambania maslahi ya mh.Mbowe azidi kufungua hoteli na uwekezaji mkubwa huko Dubai na UINGEREZA aendako mara kwa Mara.....

Ha ha ha Mdude banaa ,mwenzake mh.Mbowe watoto wake wote wanakula KUKU KWA MRIJA ...kila uchao wao "BATA" tu "mamtoni" 🤣🤣
 
CCM walichobakisha ni kukamata tu - hawana jipya.. Chama hakiwezi kabisa kusimama mbele ya wananchi kujibu hoja za wapinzani - chama kimekosa watu wenye uwezo wa kujenga hoja - bali kimewekeza kwenye watu wanaopiga simu kumwambia OCD kamata hao, zuia hao... weka ndani hao.

Sasa utawazuia ama kuwakamata kamata hadi lini ndugu
 
Chadema tuhurumieni wafuasi wenu kwa kweli.

Punde tu mama ametoka kutufikiria punguzo la tozo za kizalendo ghafla Mbowe anawaambia polisi atafanya mikutano nchi nzima wakitaka wamkamate.

Yaani mwenyekiti wa Chadema anatangaza kuvunja sheria hadharani kisha siye na akina Mrangi tutaombwa michango ya wakili wa kumtetea.

Ufipa acheni hizo bhana.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Sometimes bwashee akili yako cjui unaitupiaga wap!!
 
Mh.Mbowe na wenzake wana hulka kama wale wanaoandamana kule AFRIKA YA KUSINI....

Kinachoshangaza hatuwaoni watoto wake katika makongamano na maandamano wanayoitisha kila uchao....🤣
Watoto wa Mbowe wapo Dubai kula bata na watoto wa kiarabu, huku baba yao akiwashawishi watoto wa wenzake waingie barabarani kumpigania yeye na chama chake.
 
Idugunde huku kwetu maana yake ni mkundu
Ndio maana wanaume wanakupiga pipe. Kahaba wa kiume unaejiuza fb. Mtoto wa kiume unaliwa makalio mpaka unakunya. Unalembua macho ili upatemabwana
Screenshot_20210719-164322.png
 
Watoto wa Mbowe wapo Dubai kula bata na watoto wa kiarabu, huku baba yao akiwashawishi watoto wa wenzake waingie barabarani kumpigania yeye na chama chake.
🤣🤣
Yaani kama Mdude Nyagali na baadhi ya "popoma wa bavicha" wangelijua hilo....WANGEMKIMBIA MH.MBOWE ha ha ha ha WAJINGA NDIO WALIWAO.....
 
CCM walichobakisha ni kukamata tu - hawana jipya.. Chama hakiwezi kabisa kusimama mbele ya wananchi kujibu hoja za wapinzani - chama kimekosa watu wenye uwezo wa kujenga hoja - bali kimewekeza kwenye watu wanaopiga simu kumwambia OCD kamata hao, zuia hao... weka ndani hao.

Sasa utawazuia ama kuwakamata kamata hadi lini ndugu
Lini hoja za CCM zikaungwa mkono nanyi BAVICHA NA CHADEMA?!!

Yaani kwenu kujenga HOJA ni pale tu CCM ikiongea na kusimamia MTAKALO....

Na hizo propaganda kuwa CCM hawajengi hoja zinazidi kuchuja.....
 
Sawa mkuu.....

Kwani serikali 2 za JMT zinaweza kuhojika na kutaka maridhiano juu yake bila ya kupelekea kuvunjika kwa muungano wetu adhimu?!!!

Tuanzie hapa komredi..

Tuweke wazi hapa Muungano unapaswa kuwa wa maslahi ya watu wa pande zote mbili. Muungano haupaswi kuwa wa shuruti.

Tunaweza kama binadamu waungwana tukakubaliana kwenye hilo kwanza? Au wewe unaona je?

Ingependeza tukaelewana kwenye hatua hii kwanza hasa ukizingatia maoni ya walio wengi Zanzibar na hata huku hata ni kuona kuwa Muungano wetu unadumishwa.

Ulaya wanaongelea EU, Africa tunaongelea AU na mashariki tunaongelea EAC ambako karibuni DRC inajiunga.

Haipo nia ya kuvunja Muungano kama premise ya mwanzo.
 
[emoji1787][emoji1787]Yaani mh.Mbowe unamfananisha na mtemi ISIKE ?!! duuh watake radhi WANYAMWEZI.....

CHADEMA na mwendelezo wa CHOKOCHOKO kama zile zinazoendelea AFRIKA YA KUSINI....

Cha ajabu pamoja na AFRIKA YA KUSINI kuwa na katiba wanayoitaka CHADEMA(kipengele cha kumshtaki Rais wa nchi) bado hakikuwazuia KUFANYA VURUGU baada ya mh.Zuma kupelekwa rumande.

HII INAMAANISHA NINI ?!!!

Utamaizi kuwa katiba tuliyonayo haina matundu ya kurekebishwa Kwani CHADEMA hawawezi kuridhika na katiba yoyote ile.....kubwa lao ni kuingia tu IKULU NA KUTUTAWALA WATANZANIA....

Tusidanganyike na CHADEMA
Tusidanganywe na CHADEMA

#KatibaIliyopoNiNzuri
#TuacheChokochoko

Zuma bado yuko ndani anazingatia utaratibu/mwenendo wa sheria za nchi yake na wafuasi wake wameshasambaratishwa na baadhi kufunguliwa mashtaka.

HII INAMAANISHA KUWA Katiba makini ya Afrika ya Kusini inafanya kazi. Hakuna aliye juu ya sheria.

Huenda Zuma sasa akatamani angekuwa Rais wa JMT nchi ambayo ukiwa Rais basi una license to loot, jail, torture and kill opponents/dissenters with impunity.
 
Tuweke wazi hapa Muungano unapaswa kuwa wa maslahi ya watu wa pande zote mbili. Muungano haupaswi kuwa wa shuruti.

Tunaweza kama binadamu waungwana tukakubaliana kwenye hilo kwanza? Au wewe unaona je?

Ingependeza tukaelewana kwenye hatua hii kwanza hasa ukizingatia maoni ya walio wengi Zanzibar na hata huku hata ni kuona kuwa Muungano wetu unadumishwa.

Ulaya wanaongelea EU, Africa tunaongelea AU na mashariki tunaongelea EAC ambako karibuni DRC inajiunga.

Haipo nia ya kuvunja Muungano kama premise ya mwanzo.
Umetolea mfano muungano wa ULAYA(EU)...

Nami nautolea mfano muungano wa MAREKANI(US)...huu ulikuwa wa SHURUTI....kamwe hautovunjwa eti kwa sababu baadhi ya MAJIMBO hayaridhishwi na mfumo wao....

Muungano wetu ni wa kipekee ,pamoja na kero zilizopo bado WENGI WA PANDE ZOTE wanaridhishwa nao KIMASLAHI.....kurekebishwa kero zilizopo hakuhusiani na IDADI YA SERIKALI ZILIZOKO!
 
Kuruhusu mikutano ya kisiasa na katiba mpya ni kipimo kwangu kama mama anaupiga mwingi
Kwa hali ilivyo ccm watakuwa na wakati mgumu sana.

Their legitimacy is questionable ndiyo maana hawataki kusikia kabisa suala la mikutano ya vyama.
 
Zuma bado yuko ndani anazingatia utaratibu/mwenendo wa sheria za nchi yake na wafuasi wake wameshasambaratishwa na baadhi kufunguliwa mashtaka.

HII INAMAANISHA KUWA Katiba makini ya Afrika ya Kusini inafanya kazi. Hakuna aliye juu ya sheria.

Huenda Zuma sasa akatamani angekuwa Rais wa JMT nchi ambayo ukiwa Rais basi una license to loot, jail, torture and kill opponents/dissenters with impunity.
Nchi zetu za kiafrika ukiweka kipengele cha kumshtaki Rais wa nchi basi ujue hakuna MSTAAFU ATAKAYEPONA.....

Hushangai demokrasia ya Afrika ya kusini ni tofauti sana na nchi nyingi barani humu?!!!

Hushangai kuwa ni nchi ya kwanza kuruhusu ndoa za jinsia moja tofauti na nyingi zetu?!!!

Hiyo inatokana na HISTORIA YAO YA UKOLONI WA MAKABURU....
 
Chadema tuhurumieni wafuasi wenu kwa kweli.

Punde tu mama ametoka kutufikiria punguzo la tozo za kizalendo ghafla Mbowe anawaambia polisi atafanya mikutano nchi nzima wakitaka wamkamate.

Yaani mwenyekiti wa Chadema anatangaza kuvunja sheria hadharani kisha siye na akina Mrangi tutaombwa michango ya wakili wa kumtetea.

Ufipa acheni hizo bhana.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mtu anapozungumza lazima uelewe hoja yake ni ipi. Msingi wa kauli hiyo ni kwamba sheria zetu zipo wazi kufanya mikutano ya hadhara inaruhusiwa na inatakiwa kuwajulisha polisi tuu.Jeshi la Polisi halitoi kibali kwenye mikutano ya kisiasa wanapewa taarifa tuu na ndiyo sheria zetu . Sheria ni za nchi si za vyama au Rais acha ujinga
 
Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa wiki hii.

Akiongea kwa kujiamini na kwa msisitizo mkubwa huku akiwa kavaa kofia maarufu ya ukombozi, Laingwanan Mbowe kama anavyofahamika huko kwa Wamasai, amesema kwamba ikiwa kufanya makongamano ya ndani ya Kudai Katiba mpya ni uvunjifu wa katiba basi waanze kumkamata yeye leo hii.

Aboubakar Mbowe aka Ahmed Mbowe aka konyagi aka Mwenyekiti wa kudumu atakula laana ya maza mpaka amkumbuke mwendazake.
 
Hivi huwa kuna haja gani ya kuwavamia na kuwakamata watu wanaojadiri mambo ya siasa bila kutishia uvunjivu wa amani ya watu na mali zao? Huu woga wa Serikali chanzo chake ni nini?

I thought CCM na Serikali yao walijifunza the last time Lissu anarudi Nchini. Acha watu waandamane/wakutane/wateme nyongo zao na wafanye yao kisha warudi makwao kwa amani. Is that too difficult to understand?
Their legitimacy is questionable.

Miaka 6 iliyopita walifanya mambo mengi sana ya hovyo yakipelekwa kwa wananchi hali yao itakuwaje ?

Hawana tena ushawishi kwa umma angalia top leadership na waliopo bungeni nani anaweza kupambana kwenye ulingo wa kisiasa kwa hoja na wapinzani ?
 
[emoji1787][emoji1787]Aboboubar Mbowe anajidanganya tu....

Watanzania wanataka hali Bora za maisha yao kama vile kuchukizwa na hii tozo ya fedha mitandao ya simu ambayo inakwenda kuondolewa....

Katiba MPYA ni kelele zisizokoma za kikundi kidogo cha wanasiasa.....

Be smart. Maisha bora hayawezekani nchi inapoongozwa na mafisadi wanaokomba Hazina bila kuhojiwa, wanakopa mabenki ya biashara kugharamia miradi ya maendeleo halafu wanalazimika kutwisha wananchi kodi na tozo kubwa kubwa bila kubanwa kwa vile Bunge limejaa “wateule” wao.

Kama huwezi kuona maana na umuhimu wa katiba bora itakayowezesha kuwepo kwa utawala bora kwa maisha bora ni ngumu kueleweka.
 
Back
Top Bottom