Freeman Mbowe atoa salamu za Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania

Freeman Mbowe atoa salamu za Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania

Indeed he has turned out to be a source of happiness to the majority of citizens at this hour of need(Covid-19) when those that are supposed to provide comfort are in hideouts.
Mungu mbariki Mbowe
 
Yaani wakati wa corona kariakoo
 

Attachments

  • IMG_3041.MP4
    10.6 MB
Mungu mbariki Mbowe
Vipi wafanyakazi Wa chadema wanalipwa vizuri? na kwa wakati? Leo nimepishana nao kwenye gari mwananyamala mida ya saa nane wamejazana kwenye Prado ya Chadema ya M4C wakitokea makao.makuu mida ya saa nane nikiwa na benzi langu jeupe yaani wamebanana karibu wapakatane madrisha ya gari yako wazi wasipoambukizana Leo corona hawaambukizani tena
Mbowe kageuza Prado kama daladala kawajaza wafanyakazi hadi inatisha

Tunaomba salamu kwa wafanyakazi Wa chadema alizotoa mtuwekee hapa vipi mei mosi kawaongeza mishahara?
 
Vipi wafanyakazi Wa chadema wanalipwa vizuri? na kwa wakati? Leo nimepishana nao kwenye gari mwananyamala mida ya saa nane wamejazana kwenye Prado ya Chadema ya M4C wakitokea makao.makuu mida ya saa nane nikiwa na benzi langu yaani wamebanana karibu wapakatane madrisha ya gari yako wazi wasipoambukizana Leo corona hawaambukizani tena
Mbowe kageuza Prado kama daladala kawajaza wafanyakazi hadi inatisha

Tunaomba salamu kwa wafanyakazi Wa chadema alizotoa mtuwekee hapa vipi mei mosi kawaongeza mishahara?
Wakati yeye analipwa na wabunge wake
 
Nisaidie wewe alikuwa anaomba kazi gani?
Umetuwekea clip hapo kwamba Mwigulu anamtetea Magufuli kwamba siyo Nesi. Ndio maana nakuuliza wewe uliyetuwekea hiyo clip.

Ila kwa kumwangalia huyu amiri jeshi aliyejificha, na kwa kauli zako, inaonekana wote hamjui majukumu ya amiri jeshi.

Magufuli mwanzoni alipokea sifa nyingi kutokana na "mkakati" wake wa kupambana na huu ugonjwa. Sasa alipogundua mambo magumu, akapanic na kulala mbele. Makapuku mnaendeleza saundi ili angalau aonekane ni "shujaa". Lakini dunia nzima inamuona Magufuli kama a poor joke, hata majirani zake. Hata Kagame kamchoka.

Bahati nzuri huwezi kuwadanganya wanafamilia walioshuhudia ndugu yao anazikwa na serikali, wakaona makaburi mengi ya aina hiyo, halafu unawaambia waliokufa nchi nzima kwa ugonjwa huu ni 16 tu, siku zote hizi
 
Sasa ulitaka awe msukule amsifie DJ?
Kama Mbowe ni DJ, na Magufuli ndio PhD holder, kwa utendaji wao, kwa ongea yao, kwa jinsi wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali, basi kuna tatizo kubwa sana katika mfumo wa elimu yetu.

Kama DJ anaweza kutoa presentation kali kwa saa moja, akiweka hapa na pale kiingereza kilichonyooka, tena kitamu, akijenga hoja nzito, akiwa anaongea kwa uhuru,

Halafu Dokta, aliyesoma mpaka Diploma ya ualimu, tena wa Kemia, akasoma Masters, Halafu akaishusha PhD ya nguvu. Lakini anaongea bila kujiamini, kiingereza chake cha darasa la pili, anaogopa kukabiliana na wapinzani wake, anaogopa criticism mno, kama mtoto mdogo anayependa kusifiwa daima. Ukimnyima toy analia, basi kuna shida kubwa sana.

Lakini pengine kosa sio mfumo. Kosa ni la huyo mtu. Na iweje mtu aliyehoji PhD ya Magufuli alipotezwa hadi leo hatujui yuko wapi?
 
Umetuwekea clip hapo kwamba Mwigulu anamtetea Magufuli kwamba siyo Nesi. Ndio maana nakuuliza wewe uliyetuwekea hiyo clip.

Ila kwa kumwangalia huyu amiri jeshi aliyejificha, na kwa kauli zako, inaonekana wote hamjui majukumu ya amiri jeshi.

Magufuli mwanzoni alipokea sifa nyingi kutokana na "mkakati" wake wa kupambana na huu ugonjwa. Sasa alipogundua mambo magumu, akapanic na kulala mbele. Makapuku mnaendeleza saundi ili angalau aonekane ni "shujaa". Lakini dunia nzima inamuona Magufuli kama a poor joke, hata majirani zake. Hata Kagame kamchoka.

Bahati nzuri huwezi kuwadanganya wanafamilia walioshuhudia ndugu yao anazikwa na serikali, wakaona makaburi mengi ya aina hiyo, halafu unawaambia waliokufa nchi nzima kwa ugonjwa huu ni 16 tu, siku zote hizi
Magufuli ni raisi huwezi kukosa akili ukajifananisha nae wewe au Mimi au afanane na mbowe yeye anatoa maagizo tu wateule wake wanafanya ndio kazi za waziri wa afya waziri mkuu makamu wa raisi na wengineo Sasa ukisema raisi ndio afanye kazi za hao niliowataja hapo juu itakuwa ni kichekesho Cha Karne, pia kwa maaelezo yako unashauri hao kina majaliwa ummy na hao wataalam wa afya wenye kazi yao waache wamekosea sio kazi yao ni mh raisi? Raisi hawezi kuwa sawa na mbunge au mwenyekiti wa chadema
 
Back
Top Bottom