Freeman Mbowe atoa salamu za Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania

Freeman Mbowe atoa salamu za Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania

Yaani nakushukuru kwa kunikumbusha! Magufuli amekuwa waziri miaka 20 halafu bado anaongea kisukuma ili wengine watafasiri? Kweli kabisa kafanya mengi mno. Ufisadi mkubwa kwenye wizara ya ujenzi. Amesimamia UPORAJI MKUBWA WA NYUMBA NA VIWANJA VYA SERIKALI. CCM wamefanya uharamia mkubwa nchi hii, lakini nadhani hili la kupora viwanja prime vya serikali, likisimamiwa na nani kama siyo mporaji nambari wani? John Joseph Pombe Magufuli? Hilo limetia fora. Wezi wakubwa nyie msio na aibu! Ndio maana watanzania ni mafukara wa kutupa chini ya CCM.

Kwenye wizara ya UVUVI, Magufuli aliwatia umaskini wavuvi kwa kuchoma nyavu zao. Serikali ingeweza kabisa kutoa elimu ya nyavu, kisha ikatoa nyavu zinazotakiwa bure au kwa kuwakopesha, halafu ikazuia uingizwaji wa nyavu mbaya, baada ya hapo ndio ingekuja operesheni kwa wakorofi wachache. Lakini kwa kuwa lengo ni kuwakomoa na kuwafukarisha watanzania, uharamia na ubabe ndio ulitumika. Akiwa Rais, Magufuli amerudia tena zoezi hilo, ambalo waziri Luhaga Mpina amelisimamia kwa Ukatilivwa viwango vya Adolf Hitler , ikabidi Magufuli ampe sifa za pekee kwa kumwita KICHAA MWENZANGU! Mashetani hayo yanapongezana, huku katika vijiji vya wavuvi wameacha vilio.

Magufuli amesimamia bomoabomoa ya kikatili na kusababisha vifo vingi maeneo ya Kimara, huku akizuia ubomoaji usukumani Mwanza. Akiamini kwamba wakazi wengi kimara - Mbezi ni wa kaskazini, ambao kosa lao ni kupambania maendeleo. Basi.

Magufuli anapora fedha za masikini watanzania na kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato, ambao akitoka madarakani utakuwa pori la popo na fisi.

Siasa za Magufuli za miundombinu kwanza badala ya kilimo kwanza (kilimo cha kweli, sio kejeli ya Kikwete), zimesababisha ufukara mkubwa kwa watanzania, kuwafanya waathirike zaidi sana na madhara ya korona katika uchumi, na mafuriko.

Mbowe hana serikali, lakini amewajibika vema katika kuimarisha upinzani bora. Wajibu wa kuleta maendeleo ni wa serikali inayokusanya kodi. Mbunge anawasilisha maoni ya wananchi bungeni, anaisimamia na kuikosoa serikali, anashiriki kupanga bajeti na usimamizi kupitia kamatiza Bunge. Pia mbunge anashiriki kutunga sheria, na kusimamia na kushauri katika mambo ya kitaifa na kimataifa. Rais Magufuli anafanya jitihada kubwa kukwamisha maendeleo kwenye majimbo yanayoongozwa na wapinzani, huku anadai maendeleo hayana vyama!
Duh naona una chuki kubwa sana na mh raisi yote uliyoongea Ni chuki zako tu hakuna ukweli wowote na Wala sio dhambi raisi kuongea kisukuma hata mbowe akitaka aongee kichaga sio dhambi sisi wanainchi hatujamchagua magufuli aongee kiingereza tumemchagua apige kazi na kazi tunaziona miradi kibao mikubwa mikubwa Kama tungetaka kiingereza tungemchagua English teacher
 
Mbowe atafute kuonekana,kivipi yaani,ingawa mimi siyo Chadema wala Ccm,sidhani kama Mbowe kwa kujulikana kote huku,atake kuonekana tu.
Mbona nasikia Diamond na umaarufu wake bado anataka kiki. Inashindikana vipi kwa Mbowe.
 
Baada ya kuhitimu shahada yangu, nilikwenda kampuni moja kutafuta kazi, nikiwa na vyeti vyangu. Afisa mhusika aliniuliza, "UMEFANYA NINI?" Nilishangaa. Hana haja kujua nimesoma mpaka wapi, bali nimefanya nini! Magufuli ana PhD feki. Sihitaji kujua mbowe kasoma mpaka wapi, ila kwa cv yake, kajiendeleza sana na anampita Magufuli kwa mbali, katika kutumia elimu aliyonayo.

Nakushauri acha kuuliza mtu ana vyeti gani, bali uliza kiwango cha matumizi ya elimu aliyonayo
Baada ya kumaliza shahada ni wewe au Mbowe? Weka ushahidi wa shahada feki tafadhari.

Chama pekee kinachoongozwa na NGUMBARU yaani ni MEMKWA. Ndio maana anawapeleka puta kijeshi wabunge wake.
 
Baada ya kumaliza shahada ni wewe au Mbowe? Weka ushahidi wa shahada feki tafadhari.

Chama pekee kinachoongozwa na NGUMBARU yaani ni MEMKWA. Ndio maana anawapeleka puta kijeshi wabunge wake.
Kama hujaelewa nilichoandika, na wewe una matatizo
 
Back
Top Bottom