Napata shaka na ufahamu wako yaani bado mh raisi unamfananisha na mbowe? Raisi amekuwa waziri kwa miaka zaidi ya kumi na kazi aliyoifanya mpaka vipofu wanaijua mbowe haya uyo mbowe amefanya Nini tusiende mbali niambie Jimbo kwake amefanya nini?Kama Mbowe ni DJ, na Magufuli ndio PhD holder, kwa utendaji wao, kwa ongea yao, kwa jinsi wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali, basi kuna tatizo kubwa sana katika mfumo wa elimu yetu.
Kama DJ anaweza kutoa presentation kali kwa saa moja, akiweka hapa na pale kiingereza kilichonyooka, tena kitamu, akijenga hoja nzito, akiwa anaongea kwa uhuru,
Halafu Dokta, aliyesoma mpaka Diploma ya ualimu, tena wa Kemia, akasoma Masters, Halafu akaishusha PhD ya nguvu. Lakini anaongea bila kujiamini, kiingereza chake cha darasa la pili, anaogopa kukabiliana na wapinzani wake, anaogopa criticism mno, kama mtoto mdogo anayependa kusifiwa daima. Ukimnyima toy analia, basi kuna shida kubwa sana.
Lakini pengine kosa sio mfumo. Kosa ni la huyo mtu. Na iweje mtu aliyehoji PhD ya Magufuli alipotezwa hadi leo hatujui yuko wapi?
🤣🤣
Samahani mkuu.Kama Mbowe ni DJ, na Magufuli ndio PhD holder, kwa utendaji wao, kwa ongea yao, kwa jinsi wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali, basi kuna tatizo kubwa sana katika mfumo wa elimu yetu.
Kama DJ anaweza kutoa presentation kali kwa saa moja, akiweka hapa na pale kiingereza kilichonyooka, tena kitamu, akijenga hoja nzito, akiwa anaongea kwa uhuru,
Halafu Dokta, aliyesoma mpaka Diploma ya ualimu, tena wa Kemia, akasoma Masters, Halafu akaishusha PhD ya nguvu. Lakini anaongea bila kujiamini, kiingereza chake cha darasa la pili, anaogopa kukabiliana na wapinzani wake, anaogopa criticism mno, kama mtoto mdogo anayependa kusifiwa daima. Ukimnyima toy analia, basi kuna shida kubwa sana.
Lakini pengine kosa sio mfumo. Kosa ni la huyo mtu. Na iweje mtu aliyehoji PhD ya Magufuli alipotezwa hadi leo hatujui yuko wapi?
What is good? Nauliza swali kwa niaba ya madereva Wa wabunge Wa Upinzani Wa Chadema na ACT Wazalendo nk vipi mabosi wenu wabunge wamewapa salamu za mei mosi kwa kuwapandishia mishahara na marupu rupu?Good
Huyu namkumbuka alitumbuliwa huyu
Asilete usani naizo gloves zake zakuzibua chemba
Kweli kabisa, Rais Magufuli hawezi fananishwa na Mwenyekiti Mbowe. Mbowe sio Amiri Jeshi, hana Hazina wala Benki Kuu. Kwa mujibu wa Katiba yetu, Rais ana mamlaka makubwa sana na pia majukumu mengi.Magufuli ni raisi huwezi kukosa akili ukajifananisha nae wewe au Mimi au afanane na mbowe yeye anatoa maagizo tu wateule wake wanafanya ndio kazi za waziri wa afya waziri mkuu makamu wa raisi na wengineo Sasa ukisema raisi ndio afanye kazi za hao niliowataja hapo juu itakuwa ni kichekesho Cha Karne, pia kwa maaelezo yako unashauri hao kina majaliwa ummy na hao wataalam wa afya wenye kazi yao waache wamekosea sio kazi yao ni mh raisi? Raisi hawezi kuwa sawa na mbunge au mwenyekiti wa chadema
Hii misukule mungu iwasamehe[emoji1787][emoji1787]
Wanataka rais abebe bomba la sindano kama nesi, watanzania wengine inabidi tuwagawa maana wanaleta vihoja baada ya hoja.
Akikujibu nitagSamahani mkuu.
Naomba kujua kiwango cha elimu cha mwenyekiti(wa CDM) tafadhari.
Nimesema masikini anatia huruma kutafuta kuonekana! Sijauliza utajiri wa mwenyekiti wa Sacco's nadhani umenielewaMbowe ni maarufu kuliko wazee wa ukoo wenu wote pia,utajir wa Mbowe unakadiriwa kuwa kati ya Billion 850 hadi 1.2 Trillion so,hafanyi vitu kwa dhiki kama akili yako ya kitaahira inavyokutuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana matatizo huyu! Anaongoza chama kipi cha wafanyakazi?
Fool!Mbowe ni maarufu kuliko wazee wa ukoo wenu wote pia,utajir wa Mbowe unakadiriwa kuwa kati ya Billion 850 hadi 1.2 Trillion so,hafanyi vitu kwa dhiki kama akili yako ya kitaahira inavyokutuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata chama kimemshinda kukiweka pamoja. Chama hakina hata anuani ya kudumu.Napata shaka na ufahamu wako yaani bado mh raisi unamfananisha na mbowe? Raisi amekuwa waziri kwa miaka zaidi ya kumi na kazi aliyoifanya mpaka vipofu wanaijua mbowe haya uyo mbowe amefanya Nini tusiende mbali niambie Jimbo kwake amefanya nini? Kumfananisha magufuli na mbowe kiutendaji/ uzoefu / utawala hawalingani sembuse kufananisha cheo Cha uraisi na mbowe? Ni sawa na mbingu na ardhi
Yaani nakushukuru kwa kunikumbusha! Magufuli amekuwa waziri miaka 20 halafu bado anaongea kisukuma ili wengine watafasiri? Kweli kabisa kafanya mengi mno. Ufisadi mkubwa kwenye wizara ya ujenzi. Amesimamia UPORAJI MKUBWA WA NYUMBA NA VIWANJA VYA SERIKALI. CCM wamefanya uharamia mkubwa nchi hii, lakini nadhani hili la kupora viwanja prime vya serikali, likisimamiwa na nani kama siyo mporaji nambari wani? John Joseph Pombe Magufuli? Hilo limetia fora. Wezi wakubwa nyie msio na aibu! Ndio maana watanzania ni mafukara wa kutupa chini ya CCM.Napata shaka na ufahamu wako yaani bado mh raisi unamfananisha na mbowe? Raisi amekuwa waziri kwa miaka zaidi ya kumi na kazi aliyoifanya mpaka vipofu wanaijua mbowe haya uyo mbowe amefanya Nini tusiende mbali niambie Jimbo kwake amefanya nini? Kumfananisha magufuli na mbowe kiutendaji/ uzoefu / utawala hawalingani sembuse kufananisha cheo Cha uraisi na mbowe? Ni sawa na mbingu na ardhi
Hujui hata unachoongea. Wafanyajazi wa wabunge na wale wa ofisi ya KUB hulipwa na serikali. Kambi ya upinzani haikusanyi kodi.What is good? Nauliza swali kwa niaba ya madereva Wa wabunge Wa Upinzani Wa Chadema na ACT Wazalendo nk vipi mabosi wenu wabunge wamewapa salamu za mei mosi kwa kuwapandishia mishahara na marupu rupu?
Baada ya kuhitimu shahada yangu, nilikwenda kampuni moja kutafuta kazi, nikiwa na vyeti vyangu. Afisa mhusika aliniuliza, "UMEFANYA NINI?" Nilishangaa. Hana haja kujua nimesoma mpaka wapi, bali nimefanya nini! Magufuli ana PhD feki. Sihitaji kujua mbowe kasoma mpaka wapi, ila kwa cv yake, kajiendeleza sana na anampita Magufuli kwa mbali, katika kutumia elimu aliyonayo.Samahani mkuu.
Naomba kujua kiwango cha elimu cha mwenyekiti(wa CDM) tafadhari.