Freeman Mbowe atoa salamu za Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania

Duh naona una chuki kubwa sana na mh raisi yote uliyoongea Ni chuki zako tu hakuna ukweli wowote na Wala sio dhambi raisi kuongea kisukuma hata mbowe akitaka aongee kichaga sio dhambi sisi wanainchi hatujamchagua magufuli aongee kiingereza tumemchagua apige kazi na kazi tunaziona miradi kibao mikubwa mikubwa Kama tungetaka kiingereza tungemchagua English teacher
 
Mbowe atafute kuonekana,kivipi yaani,ingawa mimi siyo Chadema wala Ccm,sidhani kama Mbowe kwa kujulikana kote huku,atake kuonekana tu.
Mbona nasikia Diamond na umaarufu wake bado anataka kiki. Inashindikana vipi kwa Mbowe.
 
Baada ya kumaliza shahada ni wewe au Mbowe? Weka ushahidi wa shahada feki tafadhari.

Chama pekee kinachoongozwa na NGUMBARU yaani ni MEMKWA. Ndio maana anawapeleka puta kijeshi wabunge wake.
 
Baada ya kumaliza shahada ni wewe au Mbowe? Weka ushahidi wa shahada feki tafadhari.

Chama pekee kinachoongozwa na NGUMBARU yaani ni MEMKWA. Ndio maana anawapeleka puta kijeshi wabunge wake.
Kama hujaelewa nilichoandika, na wewe una matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…