Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mkuu mbona umeandika kinyonge sanaAsante kwa taarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona umeandika kinyonge sanaAsante kwa taarifa.
Mi nawaambiaga watu hawa chadema sio watu haya kulip mishahara tu tena hela ndogo mtu anaona uchoyo leo tumpe nchi kweliMbowe aache usanii alipe hiyo hela,mil 62 kwake si kitu👌kiongozi gani unakuwa dhulumati?
Ndo anataka uongozi wa nchi huyu?🤣🤣🤣
Watumishi watalipwa mishahara kweli kwa style yake hii??
Hajaanza utapeli leo.Mbowe aache usanii alipe hiyo hela,mil 62 kwake si kitu👌kiongozi gani unakuwa dhulumati?
Ndo anataka uongozi wa nchi huyu?🤣🤣🤣
Watumishi watalipwa mishahara kweli kwa style yake hii??
CCM ni wabaya, lakini haya matapeli ni hatari zaidi kuliko ccm.Yaani mwenyekiti tu wa chama anadhulumu akiwa Rais si atapiga risasi mtu hadharani.
Wapinzani ni wabaya kuliko hata ccm .
Bora CCM mara elfu ila sio hao jamaa.
Ndio ukutane na yule jamaa alikua Meya sijui wa ubungo yule anaweza kukutoa ubongo aisee.
Sasa kweli ukitaka kujua kipimo cha upumbaf wachukue wanaccm na mu wapime ndio mtajua walivyo wajinga.Mtoto wake mhuni na msanii kama baba yake tu. Yaani TZ tuna bahati mbaya, hakuna chama mbadala wa CCM, japo ndani ya vyama kuna baadhi ya watu wazuri.
Sasa kweli ukitaka kujua kipimo cha upumbaf wachukue wanaccm na mu wapime ndio mtajua walivyo wajinga.Mtoto wake mhuni na msanii kama baba yake tu. Yaani TZ tuna bahati mbaya, hakuna chama mbadala wa CCM, japo ndani ya vyama kuna baadhi ya watu wazuri.
Hapo sasa ni wabimafsi mnoCCM ni wabaya, lakini haya matapeli ni hatari zaidi kuliko ccm.
Kama yaliuza ugombea kwa lowasa, ni kitu gani yatashindwa kufanya!
Mbowe ni tapeli na ni jasusi la ccmMbowe aache usanii alipe hiyo hela,mil 62 kwake si kitu👌kiongozi gani unakuwa dhulumati?
Ndo anataka uongozi wa nchi huyu?🤣🤣🤣
Watumishi watalipwa mishahara kweli kwa style yake hii??
Hajaanza utapeli leo.
Kuna hela alikopa NPF (NSSF), alipotakiwa kulipa mkopo akakimbilia mahakamani kuomba zuio la mahakama.
Leo zaidi ya miaka 30 hajalipa deni.
We mpuuzi.
Si ajabu, hata hii kesi kukawa na mkono wa CCM ili kumwondoa Mbowe kwenye harakati zake za kupigania haki. Siadhani kama hao wafanyakazi wameshindwa kukubaliana na mwajili wao nje ya mahakama.
Unajua kusoma?
Anayehusika sio Mbowe ni mwanawen
Halafu kuna misukule inaambiwa wakaandamane eti anaipigania ,hii nchi kwa kweli kuna vilaza kupindukia aiseeBonge la jumba
Mbowe atuvushe 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️Madai ya awali yalikuwa jumla ya Sh milioni 114 baada ya kukaa mezani kwenye majadiliano kwa pamoja kiwango hicho cha fedha kilishuka na kufikia Sh milioni 62.7.
Dudley alikubali kulipa fedha hizo kwa awamu tatu, Oktoba 30, Desemba 30, 2023 na awamu ya mwisho ilikuwa mwishoni Februari 2024 lakini hakulipa.
Sema kingine chawa wa mbowe.
Wajinga ndio mtaji mkubwa wa matapeli wanaojiita wanasiasa Tanzania.Halafu kuna misukule inaambiwa wakaandamane eti anaipigania ,hii nchi kwa kweli kuna vilaza kupindukia aisee
Bado wafanyakazi wa CHADEMA nao wanamdaiMbowe aache usanii alipe hiyo hela,mil 62 kwake si kitu[emoji108]kiongozi gani unakuwa dhulumati?
Ndo anataka uongozi wa nchi huyu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watumishi watalipwa mishahara kweli kwa style yake hii??