Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo.

Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo vituo vya Usajili vilishaanza kuota kama Uyoga wa Ileje

Mwendazake kahangaikaa na CDM weee, kaondoka katuachia CDM yetu huku ikizidi inang'aa na kupendwa zaidi na watanzania - Asante Mungu wa Mbinguni, kweli tumeuona mkono wako.

Makamanda, kanyaga twende!! anayechoka anatupisha !! kitaelewaka tu.
 
😂 😂 bavicha bana! lini mshawahi kupendwa, wabunge wa lowasa ndo wanawafanya mue na kiburi
 
Tapeli hilo ndani ya mji Moro kuweni macho.
 
- 300M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2010-2015)

- 450M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2015-2020)

Unfortunately, chama hakina ofisi wala asset yoyote. Muda wote ni michango tu.

Kweli mwamba ni mwamba.
 
- 300M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2010-2015)

- 450M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2015-2020)

Unfortunately, chama hakina ofisi wala asset yoyote. Muda wote ni michango tu.

Kweli mwamba ni mwamba.
Nyumbu wamelishwa limbwata na mangi.Nyumbu poleni Sana,by the time mangi anang'atuka fuko la hela halitakuwa hata na sh. 1
 
Mungu hatakagi ujinga,muuaji wa CHADEMA akidhani atafanikiwa lengo lake,kafa na kuiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko wakati wowote

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
- 300M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2010-2015)

- 450M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2015-2020)

Unfortunately, chama hakina ofisi wala asset yoyote. Muda wote ni michango tu.

Kweli mwamba ni mwamba.
una akili ndogo sana !
 
Waliokua wanamwelekeza Mwendazake mbinu za kuumaliza CHADEMA kwasasa wameishiwa pumzi wanatapatapa.
mdee tu kawashinda mmeishiwa pumzi hamna sera yaani nyie ndiyo mmekuwa mademu mdee kidume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…