Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

mbowe ndo aliwaambia aliwapenda? 😂 😂 , tufungue petition ya chadema kushirikiana nalowasa au vp
Suala la msingi umesema kuna wabunge wa Lowasa ndo wamesababisha CHADEMA ionekane inapendwa! Kwanini Lowasa akaipenda CHADEMA badala ya TADEA au ACT?! Lowasa alienda chama ambacho kilikuwa na nguvu! Ila unajidai kuweka emoji za kucheka wakati tunajua wafiwa mna sononeko!!
 
Mwendazake kahangaikaa na CDM weee, kaondoka katuachia CDM yetu huku ikizidi inang'aa na kupendwa zaidi na watanzania - Asante Mungu wa Mbinguni, kweli tumeuona mkono wako.

Makamanda, kanyaga twende!! anayechoka anatupisha !! kitaelewaka tu.
Nasikia anapambana na moto wa volcano huko aliko
 
Suala la msingi umesema kuna wabunge wa Lowasa ndo wamesababisha CHADEMA ionekane inapendwa! Kwanini Lowasa akaipenda CHADEMA badala ya TADEA au ACT?! Lowasa alienda chama ambacho kilikuwa na nguvu! Ila unajidai kuweka emoji za kucheka wakati tunajua wafiwa mna sononeko!!

kwan kulikua na chadema ama UKAWA? alikua anagombea kuptia chadema ama kupitia ukawa??
 
kwahio aligomba kura kwa wanachadema tu?
Alipata kura nyingi kwa Watanzania, bila kujali itikadi zao. Ambacho hatukubaliani ni madai yako kwamba, CHADEMA haipendwi, imepaishwa na Lowasa! CHADEMA ilikuwepo kabla ya Lowasa, ipo baada ya Magu, na hata Wewe utaiacha!
 
ok tuseme hata watu wawili mnaweza kusema ni wengi, ila ni lini mlipata nguvu kubwa? si ni lowasa ama huamini, na lissu alisema mwenyewe want evidence?
 
Lowasa aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge na ikisimamia halimashauri kadhaa! Pia, Lowasa alienda CHADEMA kwa kuwa ni chama kikubwa, jiulize kwanini hakwenda CHAUMA au TLP?
 
unatumia nguvu nyingi sana kutetea chama ambacho nmeshahudumu apo katika ngazi mbali mbali before 2015, anyway usiwe kesi numbers dont lie
1623332363633.png

1623332391965.png

ukitaka kujua mchawi nani jibu hili apa

una swali lingine?
 
Wewe ndiyo unapiteza nguvu, aliyeapa kuiua CHADEMA kafa ameicha na wewe itakuwa hivyo hivyo!

sasa kifo ni kitu cha ajabu hata TB joshua amekufa amekiacha na mm ntaondoka sku yangu ikifika, same to you!
 
Yeah, lakini kabla haijafa CHADEMA! Wafiwa mnajitia moyo lakini uhalisia ni huo, he is no more!
 
%22_(1).jpg

Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo vituo vya Usajili vilishaanza kuota kama Uyoga wa Ileje
Kuna mtu ana sura ya usaliti hapo, mmemgundua?
 
Back
Top Bottom