Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

Mwendazake kahangaikaa na CDM weee, kaondoka katuachia CDM yetu huku ikizidi inang'aa na kupendwa zaidi na watanzania - Asante Mungu wa Mbinguni, kweli tumeuona mkono wako.

Makamanda, kanyaga twende!! anayechoka anatupisha !! kitaelewaka tu.
 
Tudai katiba mpya; la sivyo mwisho wa siku kazi hii kubwa haitazaa matunda tunayohitaji - uhuru, haki, na maendeleo ya watu.
 
Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo.

View attachment 1813243

View attachment 1813242

Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo vituo vya Usajili vilishaanza kuota kama Uyoga wa Ileje

View attachment 1813245
Step and leap high warrior Mbowe. May God shower his blessings on you.
 
Stupid Kama wewe Eti na wewe umechangia mada.
Ahsante sana MUNGU kwa kutuondolea Magufuli

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
1623245600229.png

apo vp! yes he died, so wont you?
 
Mungu hatakagi ujinga,muuaji wa CHADEMA akidhani atafanikiwa lengo lake,kafa na kuiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko wakati wowote

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
chadema iko imara[emoji38][emoji38].

angalia bango la usajiri linavyoonyesha tafsiri ya ubabaishaji.
changeni pesa huko,acheni hekaya za faraja hizi.
 
chadema iko imara[emoji38][emoji38].

angalia bango la usajiri linavyoonyesha tafsiri ya ubabaishaji.
changeni pesa huko,acheni hekaya za faraja hizi.
Sasa hata mabango ya Wajasiriamali nayo unayatolea macho ?
 
Back
Top Bottom