Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

Mwendazake kahangaikaa na CDM weee, kaondoka katuachia CDM yetu huku ikizidi inang'aa na kupendwa zaidi na watanzania - Asante Mungu wa Mbinguni, kweli tumeuona mkono wako.

Makamanda, kanyaga twende!! anayechoka anatupisha !! kitaelewaka tu.
 
Tudai katiba mpya; la sivyo mwisho wa siku kazi hii kubwa haitazaa matunda tunayohitaji - uhuru, haki, na maendeleo ya watu.
 
Step and leap high warrior Mbowe. May God shower his blessings on you.
 
Mungu hatakagi ujinga,muuaji wa CHADEMA akidhani atafanikiwa lengo lake,kafa na kuiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko wakati wowote

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
chadema iko imara[emoji38][emoji38].

angalia bango la usajiri linavyoonyesha tafsiri ya ubabaishaji.
changeni pesa huko,acheni hekaya za faraja hizi.
 
chadema iko imara[emoji38][emoji38].

angalia bango la usajiri linavyoonyesha tafsiri ya ubabaishaji.
changeni pesa huko,acheni hekaya za faraja hizi.
Sasa hata mabango ya Wajasiriamali nayo unayatolea macho ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…