Freeman Mbowe: CCM wanakusudia kutukatisha tamaa na sisi wakati mwingine tunawehuka na kuanza kukata tamaa

Shujaa Magufuli: Chadema ni Chama Cha vurugu na Pingapinga kila Kitu

Sasa wanapingana Wao Kwa Wao 😂
..ni bora mara mia kuliko chama cha wapumbavu wanafiki wanatizamana tu hata mtu anaharibu hawawezi kumwambia.
 
Je kama na yeye akiamua kutangaza nia ya Uenyekiti atakuwa anavunja Sheria?
Kutokana na andiko la Yericko Nyerere kuna kitu kipya nimekipata.

Kumbe kuna vijitabia vya Lisu vinafunikwa na chama kwa gharama kubwa lkn havisemwi hadharani. Information is power, vijitabia vya wakubwa viwe vinaanikwa hadharani. Kwako Erythrocyte
 
Unajua Mimi si kama Yerricko, ninatambua kwamba kila binadamu anayo mapungufu, Mambo mengine twaweza kukaa chini na kuyamaliza, Si lazima kwenda Public
 
Je kama na yeye akiamua kutangaza nia ya Uenyekiti atakuwa anavunja Sheria?
Itakuwa demokrasia.

Isipo it’s time ya Mwenyekiti wenu ku retire kwa sheria za nchi 60+ years ni muda wa kulea wajukuu.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe muda huu anazungumza na wanachama wa chama hicho.

Updates...

Mbowe

CHADEMA inaoutofauti na vyama vingine vya upinzani kwa sababu kimeweza kuimili misukosuko kwa sababu kimejengwa ndani ya mioyo ya wana CHADEMA na ukiwaona kimejengwa kwenye mioyo ya wana CHADEMA

Back
Top Bottom