Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
Kwani ya lini hii kamanda?Huyu katumwa kubadili upepe wa issue ya Polepole kujiuzulu
Huyu mzee wa konyagi bapa angekaa tu kwa kutulia atabebeshwa furushi la mavi muda sio rafiki. Yeye ndiye alikua kiongozi dhaifu saaana kwa maana alikubali kudalaliana na CCM.Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
Hiyo video ni enzi za uchaguzi wa ndani CDM maskini ya Mungu wanaharakati uchwara mshaokotwa!!Huyu katumwa kubadili upepe wa issue ya Polepole kujiuzulu
Hahaha daah leo unamchukia Mbowe hivi😂😂Huyu katumwa kubadili upepe wa issue ya Polepole kujiuzulu
Hayo maneno kama ya kina Lucas sawa!Cha ajabu huyo dhaifu ndio alimuangusha!!