Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Kuanzia kesho kutakuwa na sarakasi za wasanii kufanya vimbwanga, ili tu kuzima ishu ya PLPL. Wanamwaga pesa kwa vitu vya kijinga, watoto wanakaa chini madarasani.
Pandikizi hiliFreeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
Ogopa matapeli,sisi tunaenda na comred pole pole,..Mbowe atuache nw ccm yake.Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
Wewe mwenyewe ni dhaifu na traitor haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii. Ni wewe uliyesema utamlamba Samia miguu ikibidi leo ndiyo unaongea upumbavu huu?Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
Ndio ujue dhaifu ni nani🤣Cha ajabu huyo dhaifu ndio alimuangusha!!
He ameanza kuongea.Mumpe taarifa ya kitaifa ni NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA PEKEE Mengine ni uongo.Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
Unakumbukumbu nzuriSiasa bana Mbowe alikuwa anamtumia Lema kuwategenezea kesi kina Zitto. Kafulila, Prof Kitila Mkumbo, na kuwafukuza Chadema leo dhambi zao zinawatafuna.