kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,360
- 13,465
Huko ndio tunapopataka ili kujua nani mwenzetu na nani kibarakaAliondoka na CHADEMA yake huyu mwamba, lisu kawaingiza chadema kwenye mtumbwi wa vibwengo
Huko ndio tunapopataka ili kujua nani mwenzetu na nani kibarakaAliondoka na CHADEMA yake huyu mwamba, lisu kawaingiza chadema kwenye mtumbwi wa vibwengo
Kwani Lema a.k.a yake ni Lissu?Cha ajabu huyo dhaifu ndio alimuangusha!!
Mtu mjinga kama Lema siku zote anataka ligi .SHAMEUzuri nachompendea Lema hawezi kukaa kimya lazima atajibiwa kwa ukubwa zaidi
Uzuri nachompendea Lema hawezi kukaa kimya lazima atajibiwa kwa ukubwa zaid
ukiwa na akili utajia kuwa CHADEMA ya lissu ni imaara mara 1000 ya mbowe na ndio maana mihimili yote miatatu ina hahaa mama yenu mkuu wa mhimili ana haha ,tume hailali ina haha na polisi wake nao hawalali wana haha, usijifariji kima wewe huku ukweli unaujuaAliondoka na CHADEMA yake huyu mwamba, lisu kawaingiza chadema kwenye mtumbwi wa vibwengo
Mtu mjinga kama Lema siku zote anataka ligi .SHAME
Aliondoka na CHADEMA yake huyu mwamba, lisu kawaingiza chadema kwenye mtumbwi wa vibwengo
Hii ni kipindi cha kampeni. Hana nguvu tena ya kuzungumza hivyo sasa hivi.Huyu katumwa kubadili upepe wa issue ya Polepole kujiuzulu
Lema ni mwanaharakatiFreeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
Alikua ndio campaign manager wa LissuKwani Lema a.k.a yake ni Lissu?
Kawaulize wakina Makalla kati ya Lissu na Mbowe bora udili na nani?Aliondoka na CHADEMA yake huyu mwamba, lisu kawaingiza chadema kwenye mtumbwi wa vibwengo
Na ndio huyo aliyeongoza counter attack ukapigwa vibaya mpaka mkapoteanaFreeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
Mbowe naye aliposingiziwa ugaidi alienda na Chadema gerezani ?Aliondoka na CHADEMA yake huyu mwamba, lisu kawaingiza chadema kwenye mtumbwi wa vibwengo