Freeman Mbowe: CHADEMA Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema

Bapa kiboko....weka mbali na watoto otherwise ni balaa...
 
Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.

Huyu mzee wa konyagi bapa angekaa tu kwa kutulia atabebeshwa furushi la mavi muda sio rafiki. Yeye ndiye alikua kiongozi dhaifu saaana kwa maana alikubali kudalaliana na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…