Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Tuvute subra, April wala siyo mbali.
 
Uzuri mpaka uchagani walishawastukia uongo wenu, kauli yake haina tofauti na kauli ya mlevi kutishia nitakufumua huku mwenyewe hata kusimama hawezi. Taasisi anayoishutumu ni kubwa kuliko mtu na haitalegeza msimamo wa kulinda amani.
Kwahiyo unataka kumainisha kauli ya mbowe ni yauongo kama bwana yule aliye jenga mahakama za kimafisadi mpaka Leo hakuna kiongozi hata mmoja aliyeko jela kwa ufisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ndio kwanza munaringia dola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakutana kwenye magroup ya what’s up. Kila mwana Chadema awe na smart phone
Hii ilitakiwa iwe imeanza siku nyingi.

Viongozi wote kule mitaani walitakiwa wawe na vitendea kazi, kama 'smartphone', na hao ndio wangekuwa wanaeneza taarifa zote maeneo yale toka makao makuu.

Vita ni mbinu, sio kutumia maguvu tu kila mara.
 
Ilitakiwa ianze january.

Mwezi wa nne unawapa watesi wako sababu za kujipanga.

Sent using Jamii Forums mobile app

wasipokuwa makini ku-handle hili suala kwa hekima

Wote wataishia behind bars

Sasa hivi ni spark tu ...... usa na human rights wanawabeba mzee baba na akina DAB, mambo sasa nk kulee Holland

Trust me tupo kwenye breaking point utawala wa ccm wakiziba masikio.....Wallah Pompeo na human Right wanakula vichwa.
 
Yaani pamoja na kuhudhuria mahakamani muda wote huo bado mwenyekiti hajui nani alifanya hilo tukio na ushiriki wake ni namna gani?>?
 
Asie funzwa na ***** hufunzwa na walimwengu asie sikia la mkuu huvunjika guu naona wanatafuta vipigo na jela kwa lazima

Sent using Jamii Forums mobile app

Endapo kitanuka nchi nzima kwa taarifa yako hatuna wakuzuwia maafa pande zote mbili

1. Polisi watauwa raia nikweli kabisa kwa mabomu, bunduki nk ( Walio madarakani will be held responsible)

2. Baba yangu, au ndugu yangu akiuwawa, ujuwe polisi 90% wanaishi mitaani na familia zao, hapo ndipo kila polisi atakuta tofauti nyumbani anaporudi. (Tunaishi pamoja kwa Utanzania wetu, ukimuuwa ndugu yangu nawewe usirudi kabisaa hamia hukohuko)

Jambo la msingi hapa sio ubabe watu wakae wajadiliane nakupata muafaka kwa faida na maslahi ya nchi yetu.

CCM haina hati miliki ya Taifa hili Bali popote kama watanzania tunahitaji kuheshimu katiba, kuheshimu haki za msingi za binadamu na kuheshimu maoni bora ya raia.

Polisi ni watanzania na ndugu zetu kaka, dada, na baba zetu.... lakini kwanini uuwee mdogo au baba yangu eti tu kulinda maslahi ya ccm hatakama nikinyume cha katiba? Halafu mimi nikusalimu asbh!!!!
 
Swadakta !
 
Duuuh...
Nguvu ya umma isubiri kwanza tupambane na Corona-virus (Covid-19)!!
 
Hii ilitakiwa iwe imeanza siku nyingi.

Viongozi wote kule mitaani walitakiwa wawe na vitendea kazi, kama 'smartphone', na hao ndio wangekuwa wanaeneza taarifa zote maeneo yale toka makao makuu.

Vita ni mbinu, sio kutumia maguvu tu kila mara.
Hatujachelewa Huawei za kutosha zi nunuliwe na kila mwenyekiti, diwani awape watu wake. Aluta continue
 
Corona imeshahribu. Hakutakua na mkutano wala nini. Shughuli nyingi za kukutanisha watu wengi zitazuiliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu bwana Mbowe
Unafikiri wewe ndiyo mwanasiasa wakwanza Tanzania?
Hata nusu ya Mtikila au Mrema bado hujafikia!
Utakamatwa na utafungwa, kama Segerea umeona bustani ukafiri ni shamba, sasa utaenda Kitqengule uone shamba lenyewe
Na nakuhakikdishia baada ya hapo utajifunza kuheshimu mamlaka
 
Nami naanza kampeni binafsi
Mh rais mwaka huu gombea pitia CHADEMA ebu iache Ccm na ufisadi wake,clip yako moja imeniumiza sana jinsi ulivyo likuta litz .
Tafadhali Mh zingatia ushauri wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…