Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unataka kumainisha kauli ya mbowe ni yauongo kama bwana yule aliye jenga mahakama za kimafisadi mpaka Leo hakuna kiongozi hata mmoja aliyeko jela kwa ufisadiUzuri mpaka uchagani walishawastukia uongo wenu, kauli yake haina tofauti na kauli ya mlevi kutishia nitakufumua huku mwenyewe hata kusimama hawezi. Taasisi anayoishutumu ni kubwa kuliko mtu na haitalegeza msimamo wa kulinda amani.
Kumbe ndio kwanza munaringia dolaMbowe anazidi kupungukiwa uwezo wa kufikiri!! Au pia washauri wake ni useless!!
Kutangaza mikutano ya hadhara kwenye kipindi hiki ni uwendawazimu.
Mkipigwa mnalialia majeshi yanawaonea!! Kweli kwa tension ya Corona nyie mnataka muendeshe mikutano!!?? You ain't serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilitakiwa iwe imeanza siku nyingi.Tutakutana kwenye magroup ya what’s up. Kila mwana Chadema awe na smart phone
Mwenye akili ni yule aliyepigwa block marekaniHuna akili kibwengo mkubwa. Hata JK
mlisema anapendelea waislamu, akili zenu mbovu. Mlitaka wachaga mlambwe miguu ili muendelee kuiba kunguni kabisa
Nakuhakikishia! Ikifika tarehe4 atasema anaacha kufanya mikutano kama alivyohamasisha kwa madai ya KORONA.
Ilitakiwa ianze january.
Mwezi wa nne unawapa watesi wako sababu za kujipanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajanja kweli wanajua fika kuna corona...
Asie funzwa na ***** hufunzwa na walimwengu asie sikia la mkuu huvunjika guu naona wanatafuta vipigo na jela kwa lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika !
Swadakta !Endapo kitanuka nchi nzima kwa taarifa yako hatuna wakuzuwia maafa pande zote mbili
1. Polisi watauwa raia nikweli kabisa kwa mabomu, bunduki nk ( Walio madarakani will be held responsible)
2. Baba yangu, au ndugu yangu akiuwawa, ujuwe polisi 90% wanaishi mitaani na familia zao, hapo ndipo kila polisi atakuta tofauti nyumbani anaporudi. (Tunaishi pamoja kwa Utanzania wetu, ukimuuwa ndugu yangu nawewe usirudi kabisaa hamia hukohuko)
Jambo la msingi hapa sio ubabe watu wakae wajadiliane nakupata muafaka kwa faida na maslahi ya nchi yetu.
CCM haina hati miliki ya Taifa hili Bali popote kama watanzania tunahitaji kuheshimu katiba, kuheshimu haki za msingi za binadamu na kuheshimu maoni bora ya raia.
Polisi ni watanzania na ndugu zetu kaka, dada, na baba zetu.... lakini kwanini uuwee mdogo au baba yangu eti tu kulinda maslahi ya ccm hatakama nikinyume cha katiba? Halafu mimi nikusalimu asbh!!!!
Ni kweli
Hatujachelewa Huawei za kutosha zi nunuliwe na kila mwenyekiti, diwani awape watu wake. Aluta continueHii ilitakiwa iwe imeanza siku nyingi.
Viongozi wote kule mitaani walitakiwa wawe na vitendea kazi, kama 'smartphone', na hao ndio wangekuwa wanaeneza taarifa zote maeneo yale toka makao makuu.
Vita ni mbinu, sio kutumia maguvu tu kila mara.
People’s ✌🏾✌🏾✌🏾yes kamanda mbowe
Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020.
====
Updates
View attachment 1389820
“Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe.
“Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu wachukue hatua mkononi kuwajua askari wote waliomuua Akwilina" Mhe.Mbowe.
“Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13, za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa, hawa ni wamama, hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu, lakini hapa ni wanaume wenye vifua, wenye silaha, wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”. Mhe. Mbowe.
Mimi na viongozi wenzangu waandamizi tulipohudhuria sherehe za Uhuru uwanja wa Kirumba Mwanza nilipopewa nafasi ya kusalimia na nikamtaka rais aone ulazima wa kutengeneza maridhaino kuleta maridhiano… alisema nimesikia”.Mhe.Mbowe.
Sisi tulipoyataka maridhiano ya Kitaifa hayakuwa kielelezo cha uoga, ilikuwa kielelezo cha kuitaka amani katika nchi yetu kwa sababu tunaona tunakokwenda siko…”.Mhe.Mbowe.
''Natangaza rasmi kuwa kuanzia mwezi ujao wa nne tutaanza kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima bila kujali kuna katazo la Rais Magufuli na tuko tayari kwa lolote, tumekuwa waungwana vya kutosha na sasa hatutarudi nyuma kwenye hili'' - Freeman Mbowe
"Nawatangazia viongozi wote wa Chadema nchi nzima kuanzia Majimbo, Kanda, Kata, Vijiji na Mitaa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima, kwanza ni kudai tume huru na pili ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu"
"Subira yetu, uvumilivu wetu na upole wetu umedharauliwa vya kutosha. Kama watatumia polisi na magereza kutufunga wote, watufunge. Tuko tayari kwa lolote. Kama wanafikiri mabomu, risasi na jela ni suluhu, basi wakatumie," Mbowe, Mwenyekiti Chadema