Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Huwezi kuwaachia wapotoshaji, bana mbavu mpaka mwisho wahuni kabisa. Tz inahitaji sera mbadala za maendeleo na si kuhamasisha uvunjifu wa amani
Hawaezi vunja amani. Kazi ya chama pinzani ni kukosoa serikali kuu na kurekebisha mapungufu. Ndio maana vikaanzishwa na kupitishwa kisheria. Kama unazuia chama pinzani maana yake hujiamini au maana yake kuna mabaya mengi nyuma ya pazia hutaki wananchi wajue.
 
Ajenda hiyo iliondoka na Dr Slaa. Wamebaki watukanaji tu. Hivi leo Mh. Mbowe aliongerea sera gani mbadala???
 
Mbowe ni mpigaji ndani ya chadema! Ndo maana wajanja wanajiweka pembeni nae! Wamebakia hao wasagaji wa unga ! Tar ikifika atasema Korona
 
Back
Top Bottom