Pre GE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe hana sera ni malalamiko na kusaidia watu daaah
 
Kama kweli Mbowe ameyasema haya basi ni mropokaji, Lissu alitangaza nia hadharani na akachukua form na kuirudisha hadharani sasa mapinduzi yako wapi hapa? Hapa sasa naona Mbowe amechanganyikiwa yaani mtu kuomba kugombea uenyekiti imekuwa uhaini ?
Mbowe ni mhuni tu ni muda wa kukiachia chama
 
Upuuzi mtupu.
 
Mbowe anatapatapa, angekuwa amefanya tafiti huku mashinani asingechukua hata fomu.
Haaminiki tena na wanachama wanamuona kama dalali tu anayekiuza chama chao kwa ccm.
 
Huyu mzee na chama chake wangeshika nchi tungeumia sana.

..................Yaani chama tu hataki kuachia sijui angeonja utamu wa kuwa Rais ingekuwaje?
Mbowe kwa kweli anatia aibu!! Ameifanya CHADEMA ni mali yame binafsi.
 
Kwa hiyo chadema inahitaji mgonjwa anayeshinda ubelgiji hospitali kuwa mwenyekiti ambaye muda mwingi anakuwa hospitali ubelgiji?
Mbona wewe mgonjwa, lakini watu wamekuacha unapost mpaka commentszako JF?
 
Ukiwa na uhitaji unawaomba wakusaidie, ukifika uchaguzi wako unawaita "wanataka kukupindua"!!!
Outrageous
 


Kwani kuna shida gani kama ni kwa manufaa ya taifa.

Mpaka leo Mbowe hajasema sera yake ni nini na atafanya nini tofauti
 
Kwani kuna shida gani kama ni kwa manufaa ya taifa.

Mpaka leo Mbowe hajasema sera yake ni nini na atafanya nini tofauti
Sera yake ni mpaka afikishe umri wa miaka 68 kama mtangulizi wake Edwin Mtei
 
Mwanaume siku zote lazima uwe na msimamo thabiti,Mbowe yupo sahihi kwa anachokiamini na anamsimamo,Inafika mahala anashindwa kuelewa anachallenge na wana chadema wenzake au mamluki tu wa ccm kwa kivuli cha chadema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…