Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

Teteaaaaa lkn lugha hiyo ndio kila kitu. Just hilo pamoja wivu wako na uchawa.

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mfano mzuri ulio hai sasahivi nchi nyingi za kusini mwa Afrika zinaingiza mtaala wa somo la kiswahili mashuleni. Nina imani walimu wengi watakaopata nafasi za kufundisha kiswahili ktk nchi hizo ni wakenya kwa sababu ya uwezo wao wa kuzungumza kiingereza. Kutojua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha, tunashindwa kuchangamkia fulsa nyingi zinazojitokeza. Huo ni ukweli mchungu
 
Soma vizuri hujamuelewa mtoa mada.

Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
 
Jibu swali mkuu. Umeshindwa kutetea mnachotaka kuhaminisha watu. Sipingi kiingereza ila sio kwa jinsi mnavyotaka kutuaminisha.
Kujua kuongea kiingereza kwa ufasaha kunakupa kujiamini unapokuwa sehemu yoyote ile duniani na kukufanya kutohofia kuchangamkia fulsa zinapojitokeza
 
Mfano mzuri magufuli akiwa kama kiongozi wa nchi. Alikuwa anaogopa kusafiri kwenda kwenye dunia ya kwanza kwa kutojua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha
 
Kipi ambacho hakieleweki? Wewe umemuelewaje? Point ni kwamba Watanzania wengi hatujui kiingereza, kisichoeleweka ni nini? Nimeambiwa sijamuelewa mtoa hoja, hebu dadafua kwa makini ili nielewe.
 
Akili za ajabu sana hizi Rais wa China anasafiri dunia nzima na anahutubia kwa kichina.
 
China ni taifa kubwa kiuchumi na vitu vyao vingi wanatumia kichina, inabidi ujifunze kichina. Wewe una nini kimaendeleo ili bidhaa zako nyingi uandike kwa kiswahili? Hivyo usijilinganishe na China, Japan, Ujerumani nk.
 
Ni kweli, Majirani wana maisha magumu sana...
 
WACHENI UJINGA. KISWAHILI NI LUGHA YA MASIKINI.HII DUNIA YA SASA USIPOJIFUNZA KIINGEREZA WEWE NI TAKATAKA LA HAPA FULL STOP.
 
Kwa hiyo kwa maoni yako, kujua kiingereza ndiyo sawa na kuwa na ujuzi wa kazi?
Ni swali ninalokuuliza, lakini najua huwezi kulijibu kutokana na 'mentality' unayoonyesha katika maandishi yako hapa.
 
Danganya toto !wanae wapo nje wanasoma ilia aje kuwakabidhi chama, wawe competent kweny lugha ili kufanya international negotiations.
Tafutia watoto elimu Bora acha wivu, au umetaka na wewe kupeleka wa kwako kusoma nje ukazuiwa
 
Kwa hiyo Kwa kuwa ndugu zako hawataki kufanya kazi nje unafkiri ni kila mtu hataki au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…