Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
""Intaprinyua" used to die in the rake"....Kadanganye mburura wenzio sio gongo mnazokunywa huwa mnazitoa wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
""Intaprinyua" used to die in the rake"....Kadanganye mburura wenzio sio gongo mnazokunywa huwa mnazitoa wapi.
Teteaaaaa lkn lugha hiyo ndio kila kitu. Just hilo pamoja wivu wako na uchawa.Nampinga Mbowe kwa mengi ila hili la lugha kasema ukweli. Hata kufeli kwa watoto wetu ni sababu ya kiingereza. Tunashukuru wakati wa Mkapa shule nyingi za medium zilianzishwa. Chukuwa nchi tatu za Africa Mashariki ya zamani, Watanzania tupo nyuma sana sababu ya lugha. Akija muwekezaji haangalii umetoka wapi anataka ufaulu interview. Mwisho unakuta Wakenya na Waganda wanachukiliwa wengi. Mtanzania unalalamika nini na hujui kiingereza? Basi zingatia ya Mbowe. Big up!
Kweli kabisa mfano mzuri ulio hai sasahivi nchi nyingi za kusini mwa Afrika zinaingiza mtaala wa somo la kiswahili mashuleni. Nina imani walimu wengi watakaopata nafasi za kufundisha kiswahili ktk nchi hizo ni wakenya kwa sababu ya uwezo wao wa kuzungumza kiingereza. Kutojua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha, tunashindwa kuchangamkia fulsa nyingi zinazojitokeza. Huo ni ukweli mchunguNampinga Mbowe kwa mengi ila hili la lugha kasema ukweli. Hata kufeli kwa watoto wetu ni sababu ya kiingereza. Tunashukuru wakati wa Mkapa shule nyingi za medium zilianzishwa. Chukuwa nchi tatu za Africa Mashariki ya zamani, Watanzania tupo nyuma sana sababu ya lugha. Akija muwekezaji haangalii umetoka wapi anataka ufaulu interview. Mwisho unakuta Wakenya na Waganda wanachukiliwa wengi. Mtanzania unalalamika nini na hujui kiingereza? Basi zingatia ya Mbowe. Big up!
Soma vizuri hujamuelewa mtoa mada.Nampinga Mbowe kwa mengi ila hili la lugha kasema ukweli. Hata kufeli kwa watoto wetu ni sababu ya kiingereza. Tunashukuru wakati wa Mkapa shule nyingi za medium zilianzishwa. Chukuwa nchi tatu za Africa Mashariki ya zamani, Watanzania tupo nyuma sana sababu ya lugha. Akija muwekezaji haangalii umetoka wapi anataka ufaulu interview. Mwisho unakuta Wakenya na Waganda wanachukiliwa wengi. Mtanzania unalalamika nini na hujui kiingereza? Basi zingatia ya Mbowe. Big up!
Kujua kuongea kiingereza kwa ufasaha kunakupa kujiamini unapokuwa sehemu yoyote ile duniani na kukufanya kutohofia kuchangamkia fulsa zinapojitokezaJibu swali mkuu. Umeshindwa kutetea mnachotaka kuhaminisha watu. Sipingi kiingereza ila sio kwa jinsi mnavyotaka kutuaminisha.
Ni kweli lugha ni tatizoKipi ambacho hakieleweki? Wewe umemuelewaje? Point ni kwamba Watanzania wengi hatujui kiingereza, kisichoeleweka ni nini? Nimeambiwa sijamuelewa mtoa hoja, hebu dadafua kwa makini ili nielewe.
Ni kweli tupuWachina wanakomaa kujua kiingeleza ili wafanye biashara na dunia nzima
Kwa hiyo kwa maoni yako, kujua kiingereza ndiyo sawa na kuwa na ujuzi wa kazi?Nampinga Mbowe kwa mengi ila hili la lugha kasema ukweli. Hata kufeli kwa watoto wetu ni sababu ya kiingereza. Tunashukuru wakati wa Mkapa shule nyingi za medium zilianzishwa. Chukuwa nchi tatu za Africa Mashariki ya zamani, Watanzania tupo nyuma sana sababu ya lugha. Akija muwekezaji haangalii umetoka wapi anataka ufaulu interview. Mwisho unakuta Wakenya na Waganda wanachukiliwa wengi. Mtanzania unalalamika nini na hujui kiingereza? Basi zingatia ya Mbowe. Big up!
Tafutia watoto elimu Bora acha wivu, au umetaka na wewe kupeleka wa kwako kusoma nje ukazuiwaDanganya toto !wanae wapo nje wanasoma ilia aje kuwakabidhi chama, wawe competent kweny lugha ili kufanya international negotiations.
Kwani sasa hivi wazungu hawapo?Anakosea maana anaongea kinafiki wao kutwa wapo nje ...haya mkiwapa nchi wazungu watahamia hapa kabisa
Kwa hiyo Kwa kuwa ndugu zako hawataki kufanya kazi nje unafkiri ni kila mtu hataki auNakubaliana na hoja zako katika muktadha mwingine wa kwanini watu wetu hawapendi kwenda nje mbali na sababu ya kutojua lugha kama alivyosema Mbowe.
Wapo watanzania wengi hata ambao wana nafasi na visomo vyao vinawaruhusu kufanya kazi nje wameacha hizo fursa kutokana na unafuu ulioueleza. Mathalani mimi nina mfano wa kaka yangu alikataa kufanya kazi Ireland sababu anasema havutiwi na mazingira ya ughaibuni. Yupo hapahapa bongo na ameridhika. Kwa kisomo chake na uwezo wake kichwani na ubobezi wa lugha angeweza kufanya kazi popote duniani. Anasafiri mara kwa mara nje, lakini hataki kufanya kazi nje.
Na inawezekana moja ya sababu ni hizo ulizoeleza hapa.
Na nina mifano ya wengi waliokataa ofa za kazi nje na kubaki hapa nyumbani.