Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

Huyo bwege wenu Mbowe anawafariji yeye hana mtoto anaesoma shule za Kata, wanae Marekani. Kauli ya kizuzu na kibazazi hio no English no international linkage
Mbona mtu akisomesha watoto wake nje mnakua na makasiriko kana kwamba kawazuia na nyie kumsomesha wa kwenu nje au mnafikiri yeye ndio kawasababishia shida? Yeye anawapambania elimu iboreshwe Ili watoto wenu wapate elimu Bora bado mnamtukana kana kwamba anaathirika na elimu mbovu mnayopewa
 
Kijana mpumbavu umekuja na I'd mpya .

Sasa hatuwezi kuongozwa na wapumbavu wa huko kwenu...
 
Tafutia watoto elimu Bora acha wivu, au umetaka na wewe kupeleka wa kwako kusoma nje ukazuiwa
Elimu bora ndo hawana hata Ubunifu sema kukariri na kuboost kwa kuwapeleka nje .

Wengesoma mbogo wangeonekana ukilazaa wao
 
kujua lugha za kimataifa sio ubora wa elimu yenu, hicho ni kitu kingine kabisa. Mjukuu wangu anasoma shule ya awali, anajua kuongea kiingerza kizuri kuliko mimi babu yake lakini hawezi hesabu kabisa.
 
Hao ndio chimbuko la ushoga hapa nchini. Anarudi hapa kashachezewa huko nje anarudi kuwaambukiza wengine. Kuna watoto wadogo wanasoma Canada na kwingine huko, wakirudi hapa tayari marinda hawana lakini wanabana pua kuongea kiingereza vizuri (fluent)
 
kujua lugha za kimataifa sio ubora wa elimu yenu, hicho ni kitu kingine kabisa. Mjukuu wangu anasoma shule ya awali, anajua kuongea kiingerza kizuri kuliko mimi babu yake lakini hawezi hesabu kabisa.
Acha ujinga, kiingereza ni lugha ya dunia na kama ukijui basi ukitoka nje ya nchi utapata taabu sana
 
Acha ujinga, kiingereza ni lugha ya dunia na kama ukijui basi ukitoka nje ya nchi utapata taabu sana
Kwahiyo mwanao akiiongea kiingereza kizuri cha kubana pua ndio utoaji wa elimu yake ni bora sana kwenye shule hiyo?
 
Nachukuwa kakipengele kanakohusu Kenya, mashirika ya nje Wakenya wapo wengi na Watanzania wanaangushwa na interview! Hapo huoni umuhimu wa Kiingereza? Kulikuwa na mashindano ya vyuo vikuu vya nchi tatu Tz, Kenya na Uganda (coka cola) Tz tulianguka sababu ya Kiingereza, huoni umuhimu wa hiyo lugha?
 
Kingereza kinaturudisha nyuma sana.

Hivi Mtu ambaye hajui Kingereza unaweza mpatia Kazi gani? Kimataifa Mtu anayepinga hili Jambo hayupo sahihi.
Duniani lugha ni kiingereza tu? Acheni ushambenga. Warusi wanatumia lugha gani, wachina je, na wajerumani?
 
Duniani lugha ni kiingereza tu? Acheni ushambenga. Warusi wanatumia lugha gani, wachina je, na wajerumani?
kwani kile kiingereza cha wahindi kinaeleweka basi? mbona wako kila kona ya dunia wanadunda. WaCuba wanakuja kwetu kutibu, kufundisha jeshi letu, nk wanajua kiingrereza gani wale? Kinachotakiwa ni maarifa na ujuzi imara usiokuwa wa kupapasa baaaasi!! Nilikuta na waiter mmoja kwenye mgawaha wa kichina kule marekani, hajui kiingereza kizuri lakini ile smile yake na uharaka wake katika kukuhudumia hutaacha kulidhishwa na kazi yake, utaacha tip ya kutosha mwenyewe bila shuruti.
 
Ni mjinga atakubaliana na huu ujinga uliondika hapa!! Nionyeshe mtoto hata moja wa Waziri anayesome shule za kayumba ndo uje utuambie kwamba Kiingereza si chochote,

Endeleeni kudanganya wajinga!!
 
Umeandika upumbavu mtupu, Tena upumbavu kweli kweli
Kwahiyo taifa likijua kuongea kiingereza ndio limeelimika sana, pumbeevu!! Kuongea sana Kiingereza bila kuwa na ujuzi wa kutosha ni kuwaandaa watu wenu kuwa manamba kwenye english speaking countries. Tunao wamalawi wengi sana hapa tanzania wanaofanya kazi za ndani kwa wazungu kwasababu wanajua kuongea kiingereza. Hivi tunataka watu wetu tuwaandae kwenda kuzibua mitaro, kuchuma ma apple, kubeba mizigo kwenye stoo na malls huko Marekani?. Wahindi na wachini hawajui kiingereza kizuri lakini wana ujuzi mkubwa kwenye IT, hesabu, uhandisi na utabibu wanaajiliwa kwenye kazi nzuri za heshima. Hii ndio aina ya elimu tunayotaka kuwapa watu wetu, kiingereza kitakuwa added advantage.
 
Jitahidi kuwa unasoma mwanzo mwisho wa hoja. Hata hueleweki unapinga au unasupport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…