Makuzamkumbo
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 501
- 519
Mbona mtu akisomesha watoto wake nje mnakua na makasiriko kana kwamba kawazuia na nyie kumsomesha wa kwenu nje au mnafikiri yeye ndio kawasababishia shida? Yeye anawapambania elimu iboreshwe Ili watoto wenu wapate elimu Bora bado mnamtukana kana kwamba anaathirika na elimu mbovu mnayopewaHuyo bwege wenu Mbowe anawafariji yeye hana mtoto anaesoma shule za Kata, wanae Marekani. Kauli ya kizuzu na kibazazi hio no English no international linkage