Freeman Mbowe: Hizi ndizo njia ambazo Maandamano yetu yatapita

Freeman Mbowe: Hizi ndizo njia ambazo Maandamano yetu yatapita

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kupitia ukurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024.

Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja

Njia ya pili - Ilala Boma Sokoni kupitia barabara ya Uhuru mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja.

20240921_180807.jpg
 
Watoto wa Mbowe watapita njia ipi?

Watoto wa Lema watapita njia ipi?

Watoto wa Lissu watapita njia ipi?

Watoto wao wapo ulaya wanakula kuku kwa mrija.


Au mkisema damu lazima imwagike mnaamaanisha ya watoto wa mambumbumbu?
 
Watu wameshaamua kama ni kufa wacha wafe.

Labda kwenye keyboard, ugali ulivyo mtamu ukawe kilema kwa ajili ya Mbowe! 🚮
 

 
Wanachadema wenzangu,mwenyekiti wenu alishawahi kuwatahadharisha wale waliowahi kuutaka uenyekiti wa chadema kuwa sumu haijaribiwi Kwa kuionja,


Na Mimi nasema serikali haijaribiwi Kwa maandamano uchwara ya political mongers wa chadema,mtakwisha
 
Watoto wa Mbowe watapita njia ipi?

Watoto wa Lema watapita njia ipi?

Watoto wa Lissu watapita njia ipi?

Watoto wao wapo ulaya wanakula kuku kwa mrija.


Au mkisema damu lazima imwagike mnaamaanisha ya watoto wa mambumbumbu?
Hata wewe unaruhusiwa kuwaacha watoto zako nyumbani halafu wewe kama mzazi ukajitokeza barabarani
 
Mungu asaidie tusiokote maiti za vijana wapambanaji wanaodanganywa na wanasiasa.

Mtu aliyekata ringi kabisa anaona haelewi solution ni kuandamana kwa mbowe anicheki nimpe mitkasi ya kufanya sinza au kkoo usije kukatwa mkono ukashindwa kutafuta ugali wako kuna maisha baada ya maandamano samia hatanii this time
 
Back
Top Bottom