Wanaosimamia Ulinzi na Usalama ,tunawaombeni mzee mbowe na genge lake (Viongozi) wasitoke nje ya uzio wao siku ya maandamano.Kupitia ulurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024.
Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja
Njia ya pili - Ilala Boma Sokoni kupitia barabara ya Uhuru mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja.