Freeman Mbowe: Hizi ndizo njia ambazo Maandamano yetu yatapita

Wanaosimamia Ulinzi na Usalama ,tunawaombeni mzee mbowe na genge lake (Viongozi) wasitoke nje ya uzio wao siku ya maandamano.
 
Wanachadema wenzangu,mwenyekiti wenu alishawahi kuwatahadharisha wale waliowahi kuutaka uenyekiti wa chadema kuwa sumu haijaribiwi Kwa kuionja,

Na Mimi nasema serikali haijaribiwi Kwa maandamano uchwara ya political mongers wa chadema,mtakwisha
Chadema haijawahi kuwa na mwanachama muoga kama wewe
 
Wewe mwenyewe hadi sasa bado unapakatwa kwa shemeji wa lumumba
 
Watoto wa Mbowe watapita njia ipi?

Watoto wa Lema watapita njia ipi?

Watoto wa Lissu watapita njia ipi?

Watoto wao wapo ulaya wanakula kuku kwa mrija.

Au mkisema damu lazima imwagike mnaamaanisha ya watoto wa mambumbumbu?

..Abduli utakuwepo na smg yake kulinda maandamano?

..Wanu atabeba vilipuzi vya kuwasha ili kudhibiti waleta vurugu kwenye maandamano?

..kama Mama hapendi maandamano basi atume familia yake kuyazuia, asiwatumie kina Mafwele.
 
Nguvu ya UMA haijawahi kushindwa.
 
Watoto wa Mbowe watapita njia ipi?

Watoto wa Lema watapita njia ipi?

Watoto wa Lissu watapita njia ipi?

Watoto wao wapo ulaya wanakula kuku kwa mrija.

Au mkisema damu lazima imwagike mnaamaanisha ya watoto wa mambumbumbu?
Kwenye chopa wana waangalia kwa chini
 
Wanachadema wenzangu,mwenyekiti wenu alishawahi kuwatahadharisha wale waliowahi kuutaka uenyekiti wa chadema kuwa sumu haijaribiwi Kwa kuionja,

Na Mimi nasema serikali haijaribiwi Kwa maandamano uchwara ya political mongers wa chadema,mtakwisha
Hata wasipoandamana watakwisha tu, si kila siku wanatekwa na kuuawa.
 
Safi sana Mbowe na CDM kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…