Tetesi: Freeman Mbowe kugombea Urais kupitia CHADEMA 2025

Tetesi: Freeman Mbowe kugombea Urais kupitia CHADEMA 2025

Free
Anauzika na kunadika kirahisi sana kwa wananchi na anazungumzwa vizuri sana ndani na nje ya nchi..

Hayupo wa kumshinda kwa mvuto wa kisiasa, uwezo wa kiuchumu na ushawishi katika ujengaji hoja na kujieleza.
Ana mtaji wa uhakika wa kura za wajumbe ndani ya chama chake na wananchi nje ya chama chake.

Ni mzalendo wa kweli na makini. Mstahimilivu mwenye staha, weledi na subra.

Anaaminika pakubwa ndani na nje ya Chama chake zaidi ya mwanachama mwingine yeyote humo chamani.

Ndie pekee mwenye uungwaji mkono mkubwa wa wajumbe wa ndani na nje ya nchi miongoni mwa wanachama wake.

Wapo wengine wenye nia ya kuomba kuteuliwa na chama kugombea urais katika chama hicho. Yes well and good, ni haki yao, wana uwezo wao na ni viongozi wazuri tu, kasoro yao ni moja tu miongoni mwao wanaungwa mkono na baadhi ya wajumbe diaspora tu na sio mahali pengine popote. Na wengine hawana ushawishi miongoni mwa wajumbe ndani ya chama kabisa.

Kwa ushauri wangu inafaa wasubiri na kujijenga zaidi hasa kwenye kujieleza kwa staha humu nchini.

He can seat and negotiate with others. He can manage and mobilize opposition into one team, voice, mission, vision and win elections easily than anyone in opposition.

Hakuna mwenye uwezo huo zaidi ya muugwana huyu na statesman Freeman A. Mbowe

Mungu Ibariki Tanzania.
Freeman anatufaa sana watanzania!
 
Yaani hii NGO ina matatizo. CCM sisi tuna jembe letu, msomi, mzalendo Dkt Samia.
 
ni sawa furahia uhuru wa kutoa maoni ila zingatia unawajibika kutokuvuka mipaka....

wajinga tutashiriki uchaguzi kikamilifu chaguzi hizi unazodai za kishenzi, ila ile jambo muhimu ni usituletee fujo, mihemko na ghadhabu zako kwenye ujinga wetu....

Hilo la kwanza,
hiyo kulia lia na kubwekabweka ukae nayo nyumbani hatuna muda nayo na wala hatuwezi hangaika nayo
Narudia tena, Tanzania hakuna uchaguzi bali maonesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Subiri uone turnout ya wapiga kura kwenye chaguzi hizi za kishenzi, kisha utajua ni kwa kiwango gani wananchi wamechoka kura zao halali kuchezewa na chama la majizi.
 
Yaani hii NGO ina matatizo. CCM sisi tuna jembe letu, msomi, mzalendo Dkt Samia.
huko ntazungimzia wakati
Narudia tena, Tanzania hakuna uchaguzi bali maonesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Subiri uone turnout ya wapiga kura kwenye chaguzi hizi za kishenzi, kisha utajua ni kwa kiwango gani wananchi wamechoka kura zao halali kuchezewa na chama la majizi.
hiyo labada jeshi ya inzi 😀

matarajio ya turout this time around ni more than 95% ya waliojiandikisha, hio haina wasiwasi kabisa.

aliechoka ni wewe na wewe pekeyako,
na utatakiwa kukaa nyumbani siku ya uchaguzi na kufuatilia kwa tv hiyo turn out ya mamilioni ya waTZ wakitunia hakia yao ya msingi kuamua mustakabali wa hatima ya uongozi wao😀
 
Mara paap! Sexless kawa rais wa Tanzania kupitia CHAUMA. Mtanikoma.

Kwenye urais wangu yafuatayo yatakuwa ni haramu.
1. Kubet. Bora ukutwe na bangi kuliko betting
2. Saloon. Nitaziifunga zote na itakuwa ni marufuku kujiremba, kujikoroga, na kujibadilisha maumbo kwa vigodoro
3. Baa itakuwa mwisho saa 10 jioni.
4. Muziki itaruhusiwa ya dini tu
Watakuua
 
Kwani mwanzo alivyogombea alikuwa amesoma wapi? Au ulikuwa darasa la pili hukumbuki.
Anyway hayo ni maoni ya mleta mada tu, mimi naona agombee yule yule wa 2020(TL), tatizo hata akigombea nani kutoka upinzani, ccm wanaiba kura.
TL hafai kabisa kwa nafasi kubwa. Tofauti ya TL na Magufuli ni ndogo sana. Wote wamekaaa kidikteta na ni wabinafsi kwenye maamuzi. TL anafaa tu kuwa mtu wa kutumwa lakini siyo kiti kikubwa cha nchi. BIG NO for Tundu Lissu. Mkishindwa tuleteeni John Mnyika
 
ndio anayo Shahaada ya kwanza ya Utawala, bachelor of Public Administration alioipata chuo kikuu huko uingereza.
Anavyovigezo vyote vya kitaaluma, uzoefu kijamii na kisiasa...
Weka tarehe alizosoma Uingereza tujue lini alikuwa huko. Najuwa hajawahi kuwa nje ya Tanzania zaidi ya miezi 3 enzi hizo anazodai amesoma. Yawezekana amesoma kwenye hizi Amazon College au Ras Simba za Uingereza
 
hiyo si muhimu sana,
na ukianza kuhitaji hayo ya mbowe baadae utanambia nikulete na ya aliewahi kuwa waziri mkuu awamu ya3, na hayati lyatonga mrema pia.

Maana hii ndio team ambayo ilikua forced politicaly kwendra kusoma shahada baada ya vigezo vya kielimu kubadilika hadi walau shahada ya kwanza kwa nafasi ya urais vitu ambavyo hao wangwana viongoxi wetu mahiri hawakua navyo .....

kwahiyo itoshe tu kusema F.A.Mbowe ana shahada ya kwanza ya Public Administration....
 
Mimi mtu akiniuliza mawazo yangu kuhusu usanii huu wa uchaguzi nitasema yafuatayo;
Ni heri yale aliyofanya Jerry Rawlings wa Ghana 1979 yatokee hata hapa.
Rawlings akiwa afisa wa jeshi la anga kijana 1979 aliongoza mapinduzi na akairudisha serikali ya kiraia mwaka uliofuata.
Alipoona ujinga wa serikali ya kiraia umerudi tena 1981 akapindua tena na kufuta vyama vyote vya siasa, ikaundwa katiba ya kidemokrasia mpya kabisa kisha baada ya muda uchaguzi ukaitishwa na akajiuzulu jeshini na kugombea kiraia na kushinda mihula miwili.
Bila kutokea wa kuivunjilia mbali CCM na vikaundwa vyama vingine upuuzi hauwezi kuisha nchi hii.
Na ni wajibu wa vijana kujua kuwa bila kukiondoa kizazi hiki cha ccm madarakani na katika mifumo yetu hatutoboi kama nchi.
TUWAONDOE na kuifuta siasa hii ya kushika hatamu milele

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom