Freeman Mbowe kuhamia CCM, CHADEMA inaanguka?

WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Pumbavu wewe!
 
Hapana, mbowe anaandaliwa kuwa Kama majaliwa 2025.
 
Mwisho wa siku chama si kabila.

Kikubwa kwa sasa kinachohurajika ni kusaidia serikali ambayo kwa sasa imeshindwa, imeanguka.

Na kilichoanguka si serikali. Kwani serikali ni sisi wananchi. Walioshindwa ni watendaji. Hivyo tunaposema kuisaidia serikali ni kujisaidia sisi wenyewe. Bila kujali kuwa tuliowakasimisha madaraka wako.

Serikali ya ccm ni Dola iliyodondoka kama ilivyodondoka serikali ya warumi. Ikidondoka kutokana na kujaa immorality. Kukosa utu na maadili.

ni mwezi sasa nipo maeneo ya Muhimbili. Serikali imeshindwa kutoa huduma stahiki kwa wagonjwa. Na sasa muhumbili imekuwa magereza kwa maiti na wagonjwa wasio na uwezo. Jambo hili halipo kwenye ilani ya ccm.

Leo nimetembelea soko la mboga mboga na nafaka ilala. Linasikitisha. Unakanyaga fungus tupo kwenye vinjia, huwezi juwa kama kweli lina viongozi. Kuanzia mwenyekiti wa serikali ya mtaa, madiwani, na wasinamizi wa soko.

Ukweli sisi wananchi tunahitajika kuisaidia serikali. Serikali ni sisi.

Na nina dhana moja ya kuweza kuisaidia serikali.

Ubora wa serikali yyt unategemea itikadi ya serikali hiyo.

Itikadi ya serikali ni ile haina dini.

Tunahitaji serikali yenye dini zote. Ni rahisi kwa sasa kwa watz kuwaambia watoe mchango wa sh 200 kila wiki kupitia kwa viongozi wao wa dini wa mtaa kuliko kiongozi wa serikali ya mtaa.

Hivyo tukiwa na serikali ya dini zote kutawezesha wananchi kuisaidia serikali yao kupitia kwa viongozi wa dini.

Muhimbili yaweza kuendeshwa kwa mchango wa sh 200 kwa wiki, kwa wakazi wa dsm pekee wakihamasishwa na viongozi wao wa kiimani ambao kimsingi wanahitajika waumini 1m pekee.

Soko la ilala laweza kuwa ktk kiwango iwapo mchango wa sh 100 pekee kwa wakazi wa ilala pekee wakihamasishwa na viongozi wao wa imani zao.

Itikadi ya serikali isiyo na dini imefeli.

Tunahitaji chama kitachounda serikali ya dini zote.
 
Pumbavu wewe!
swali ambalo huyo poyoyo ungemuuliza ni kwamba kumbe alipokuwa anawambia mungu wao yule dikiteta magufuli kuwa chadema imekufa alikuwa anawapumbaza na kwanini wamekuwa wakisema chadema imekufa halafu huyo jamaa kwa upumbavu wake anasema mbowe akihamia ccm chadena itakufa which means that up to this juncture chadema is still alive therefore those fools na sycophants who have been consolling themselves that chadema has already demised are lunatics who need to be taken to mental health clinic for check up.
 
Asante, unakubali lipi au unakataa lipi?
Zitto hakuondoka?
Slaa hakuondoka?
Silinde hakuondoka?
Lijualikali hakuondoka?
Why unang'aka juu ya Mbowe!!!
walipoondoka chadema ilikufa?
why hutaki kusema hao uliowataja walipoondoka chadema ilifanyaje!!!
 
Akiondoka Mbowe, CHADEMA itapona. Anayekiua CHADEMA kwa sasa ni Mbowe.
mbowe haondoki na mwaka huu tunamchagua tena mpaka nguruwe wa uvccm na sukuma gang tuwakomeshe kabisa na mfutike kwenye siasa za tanzania.
 
walipoondoka chadema ilikufa?
why hutaki kusema hao uliowataja walipoondoka chadema ilifanyaje!!!
Iiyumba sana:-
(a). Idadi ya wabunge ilipungua sana;
(b). Majimbo mliyoaminiwa yaliwakimbia;
(c). Robo tatu ya wanachama wenu wahamia CCM, ACT nk
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Nikifuatilia siass za CHADEMA naona Mbowe kajitahidi ssna kuwa mzalendo kwa Taifa na chama.chake zaidi.

CHADEMA wanawindwa sana kama magaidi vile. Kiongozi makini anajua kuwa jeshi linatumika against Katiba na ikitokea CHADEMA ikapata madaraka ni sharti lazima watumie jeshi hilohilo kustawisha utawala wa kidemokrasia. Hivyo lazima ajitahidi kufanya matidhiano kwa kufanya siasa zenye tija zaidi waweze kuaminika na kupata kura za wananchi.

Siasa siyo vita
Siasa siyo uadui
Siasa nzuri ni sehemu ya tunu za taifa
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Hii post umeandikiwa na nani? Maana hata @johnthebabtist babustic hawez andika hiv
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Ongeza kifungu
(e) Juzi ametinga tena Ikulu kukutana na Kamala Haris, hiyo ata hakushauri wenzake alipiga suti yake kama kawaida sasa kuamkia Ikulu, yaan sabab ndogo yeye ashatinga Ikulu
 
Poa ili mfurahi si ife tu, mbona unateaeka kwani wewe ni CHADEMA.
Chadema kwisha habari yao, mtu kama mbowe hakutegemewa kuwa laini kiasi hiki kumbe ilikuwa ni suala la muda tu
 
Sijui kwa nini Moderator huwa hawafuti nyuzi za kijinga kama huu Ili kuokoa matumizi ya server 🙄
Chadema walikuwa wanamsema maalim seif sana sasa rangi zao zimeonekana, hela ni kitu kibaya sana hatukumtegemea kamanda Mbowe
 
Back
Top Bottom