WanaJf,
Salaam!
Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:
(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;
(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;
(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;
(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Mwisho wa siku chama si kabila.
Kikubwa kwa sasa kinachohurajika ni kusaidia serikali ambayo kwa sasa imeshindwa, imeanguka.
Na kilichoanguka si serikali. Kwani serikali ni sisi wananchi. Walioshindwa ni watendaji. Hivyo tunaposema kuisaidia serikali ni kujisaidia sisi wenyewe. Bila kujali kuwa tuliowakasimisha madaraka wako.
Serikali ya ccm ni Dola iliyodondoka kama ilivyodondoka serikali ya warumi. Ikidondoka kutokana na kujaa immorality. Kukosa utu na maadili.
ni mwezi sasa nipo maeneo ya Muhimbili. Serikali imeshindwa kutoa huduma stahiki kwa wagonjwa. Na sasa muhumbili imekuwa magereza kwa maiti na wagonjwa wasio na uwezo. Jambo hili halipo kwenye ilani ya ccm.
Leo nimetembelea soko la mboga mboga na nafaka ilala. Linasikitisha. Unakanyaga fungus tupo kwenye vinjia, huwezi juwa kama kweli lina viongozi. Kuanzia mwenyekiti wa serikali ya mtaa, madiwani, na wasinamizi wa soko.
Ukweli sisi wananchi tunahitajika kuisaidia serikali. Serikali ni sisi.
Na nina dhana moja ya kuweza kuisaidia serikali.
Ubora wa serikali yyt unategemea itikadi ya serikali hiyo.
Itikadi ya serikali ni ile haina dini.
Tunahitaji serikali yenye dini zote. Ni rahisi kwa sasa kwa watz kuwaambia watoe mchango wa sh 200 kila wiki kupitia kwa viongozi wao wa dini wa mtaa kuliko kiongozi wa serikali ya mtaa.
Hivyo tukiwa na serikali ya dini zote kutawezesha wananchi kuisaidia serikali yao kupitia kwa viongozi wa dini.
Muhimbili yaweza kuendeshwa kwa mchango wa sh 200 kwa wiki, kwa wakazi wa dsm pekee wakihamasishwa na viongozi wao wa kiimani ambao kimsingi wanahitajika waumini 1m pekee.
Soko la ilala laweza kuwa ktk kiwango iwapo mchango wa sh 100 pekee kwa wakazi wa ilala pekee wakihamasishwa na viongozi wao wa imani zao.
Itikadi ya serikali isiyo na dini imefeli.
Tunahitaji chama kitachounda serikali ya dini zote.