Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia.

Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala kuhifadhiwa ndani ya mfuko wa mwanasiasa yoyote. Maana kuna watu ambao tayari wameshawakabidhi wanasiasa akili zao, kiasi kwamba hawawezi kuwa na wazo lolote kinyume na wale wanaomiliki akili hizo.

Twende sasa... Ndugu zangu kuna baadhi ya watu wamekuwa wakijaribu kumfananisha mwenyekiti wa Chadema taifa mh Mbowe na aliekuwa mpambanaji wa kweli na mpigania uhuru wa Afrika kusini hayati Nelson.

Ingawa kila mtu anaweza kuwa na mawazo au mtizamo wake lkn kwangu mimi naona kuwa watu hao wanakosea sana. Naweza kutaja baadhi ya sababu zinazofanya nikatae kukubaliana na watu hao.

Sababu hizo ni :

[1] Hayati Nelson alikuwa tayar kuwapambania wa South Africa wote bila kujali rangi zao, makabila yao, dini zao, vyama vyao na itikadi zao. Wakati mh Mbowe anaonekana kupambania zaidi masilahi yake, masilahi ya baadhi ya ndugu zake, watoto wake na tumbo lake.

[2] Hayati Nelson alihamasisha mapambano akiwa mstari wa mbele na familia yake. Mh Mbowe alikuwa na tabia ya kuhamasisha mapambano au maandamano, huku yeye na familia yake wakitimkia Afrika kusini au Dubai kula bata nk.

[3] Hayati Nelson alijitolea kila alichonacho kusaidia mapambano, ili wananchi wake wapate uhuru wao. Mh Mbowe akitoa hata sh1000 ujue siku ruzuku akiingia tu anakata hela yake kwa kisingizio cha kukidai au kukikopesha chama.

[4] Mwisho kabisa wakati mzee Nelson amefungwa jela takriban miaka 27, wananchi wake na wanaharakati mbali mbali wa ndani na nje ya nchi yake walionekana kuguswa, na kumpambania kwa njia mbali mbali. Bongo toka mh Mbowe afungwe ni week ya tatu tu sasa, lkn tayar ashaanza kusahaulika mapema sana utafikiri hakuna mwanasiasa anaeitwa mbowe nchini.

So hizo ndio sababu za mimi kupingana na watu hao wanaojaribu kufananisha nguvu za gari na treni. Haya ndugu zangu mwenye vigezo vya kumlinganisha mh mbowe na aliekuwa mzee wetu hayati Nelson anakaribushwa kuchangia na kuweka vigezo vyake hapa. Asanteni.
Wewe dada Mr Dudumizi . Kwa kuwapigania wa Africa kusini Mandela kwako ni shujaa. Lakini Mbowe kuwapigania WaTz kwako ni haramu !!.

Hili ni tatizo la WaTz kwa sasa. Kushabikia vya nje na kuvithamini. Lakini wakivibeza vya nyumbani na kuvidharau. Tatizo hapa ni aina ya elimu tunayowakaririsha watoto. Nawe ni mhanga .
 
Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia.

Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala kuhifadhiwa ndani ya mfuko wa mwanasiasa yoyote. Maana kuna watu ambao tayari wameshawakabidhi wanasiasa akili zao, kiasi kwamba hawawezi kuwa na wazo lolote kinyume na wale wanaomiliki akili hizo.

Twende sasa... Ndugu zangu kuna baadhi ya watu wamekuwa wakijaribu kumfananisha mwenyekiti wa Chadema taifa mh Mbowe na aliekuwa mpambanaji wa kweli na mpigania uhuru wa Afrika kusini hayati Nelson.

Ingawa kila mtu anaweza kuwa na mawazo au mtizamo wake lkn kwangu mimi naona kuwa watu hao wanakosea sana. Naweza kutaja baadhi ya sababu zinazofanya nikatae kukubaliana na watu hao.

Sababu hizo ni :

[1] Hayati Nelson alikuwa tayar kuwapambania wa South Africa wote bila kujali rangi zao, makabila yao, dini zao, vyama vyao na itikadi zao. Wakati mh Mbowe anaonekana kupambania zaidi masilahi yake, masilahi ya baadhi ya ndugu zake, watoto wake na tumbo lake.

[2] Hayati Nelson alihamasisha mapambano akiwa mstari wa mbele na familia yake. Mh Mbowe alikuwa na tabia ya kuhamasisha mapambano au maandamano, huku yeye na familia yake wakitimkia Afrika kusini au Dubai kula bata nk.

[3] Hayati Nelson alijitolea kila alichonacho kusaidia mapambano, ili wananchi wake wapate uhuru wao. Mh Mbowe akitoa hata sh1000 ujue siku ruzuku akiingia tu anakata hela yake kwa kisingizio cha kukidai au kukikopesha chama.

[4] Mwisho kabisa wakati mzee Nelson amefungwa jela takriban miaka 27, wananchi wake na wanaharakati mbali mbali wa ndani na nje ya nchi yake walionekana kuguswa, na kumpambania kwa njia mbali mbali. Bongo toka mh Mbowe afungwe ni week ya tatu tu sasa, lkn tayar ashaanza kusahaulika mapema sana utafikiri hakuna mwanasiasa anaeitwa mbowe nchini.

So hizo ndio sababu za mimi kupingana na watu hao wanaojaribu kufananisha nguvu za gari na treni. Haya ndugu zangu mwenye vigezo vya kumlinganisha mh mbowe na aliekuwa mzee wetu hayati Nelson anakaribushwa kuchangia na kuweka vigezo vyake hapa. Asanteni.
Aliyoyafanya Mbowe na sacrifices aliyotoa kwa wananchi hakuna mwanasiasa aliyeweza,ata Nyerere hafiki!

Wewe na familia yako mmefanya nini zaidi ya kutafuta ugali wenu wa kila siku? Mbowe is a living legend
 
..kati ya kongamano la Chadema, na mechi ya ligi kuu uwanja wa Kirumba, kipi kinaweza kueneza covid kwa watu wengi?

..siku ambayo kongamano la Chadema ilikuwa lifanyike kulikuwa na mechi ya ligi kuu uwanja wa kirumba Mwanza.
Kama hujui ulisemalo kaa kimya

Hakuna mechi ya ligi kuu yoyote iliyochezwa hapo Kirumba siku hiyo, pía Mwanza yenyewe haikuwa na timu ligi kuu kwa msimu uliopita 2020-2021
 
Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia.

Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala kuhifadhiwa ndani ya mfuko wa mwanasiasa yoyote. Maana kuna watu ambao tayari wameshawakabidhi wanasiasa akili zao, kiasi kwamba hawawezi kuwa na wazo lolote kinyume na wale wanaomiliki akili hizo.

Twende sasa... Ndugu zangu kuna baadhi ya watu wamekuwa wakijaribu kumfananisha mwenyekiti wa Chadema taifa mh Mbowe na aliekuwa mpambanaji wa kweli na mpigania uhuru wa Afrika kusini hayati Nelson.

Ingawa kila mtu anaweza kuwa na mawazo au mtizamo wake lkn kwangu mimi naona kuwa watu hao wanakosea sana. Naweza kutaja baadhi ya sababu zinazofanya nikatae kukubaliana na watu hao.

Sababu hizo ni :

[1] Hayati Nelson alikuwa tayar kuwapambania wa South Africa wote bila kujali rangi zao, makabila yao, dini zao, vyama vyao na itikadi zao. Wakati mh Mbowe anaonekana kupambania zaidi masilahi yake, masilahi ya baadhi ya ndugu zake, watoto wake na tumbo lake.

[2] Hayati Nelson alihamasisha mapambano akiwa mstari wa mbele na familia yake. Mh Mbowe alikuwa na tabia ya kuhamasisha mapambano au maandamano, huku yeye na familia yake wakitimkia Afrika kusini au Dubai kula bata nk.

[3] Hayati Nelson alijitolea kila alichonacho kusaidia mapambano, ili wananchi wake wapate uhuru wao. Mh Mbowe akitoa hata sh1000 ujue siku ruzuku akiingia tu anakata hela yake kwa kisingizio cha kukidai au kukikopesha chama.

[4] Mwisho kabisa wakati mzee Nelson amefungwa jela takriban miaka 27, wananchi wake na wanaharakati mbali mbali wa ndani na nje ya nchi yake walionekana kuguswa, na kumpambania kwa njia mbali mbali. Bongo toka mh Mbowe afungwe ni week ya tatu tu sasa, lkn tayar ashaanza kusahaulika mapema sana utafikiri hakuna mwanasiasa anaeitwa mbowe nchini.

So hizo ndio sababu za mimi kupingana na watu hao wanaojaribu kufananisha nguvu za gari na treni. Haya ndugu zangu mwenye vigezo vya kumlinganisha mh mbowe na aliekuwa mzee wetu hayati Nelson anakaribushwa kuchangia na kuweka vigezo vyake hapa. Asanteni.
Kwanza ujue chadema ni chama chenye itikadi ya ubinafsi. Wanatumia uongo ulaghai na usaliti wa maslahi ya umma. Kumlinganisha mandela na mbowe ni kichekesho. Eti wanaigiza hadi nyimbo za anc za ukombozi na kuilinganisha ccm na ukaburu. Wapuuzi sana. Kwanza ccm ni zaidi ya anc ambayo ccm waliwalea na kuwapa kila msaada kuikomboa nchi yao. Hata anc wenyewe wanaishangaa cdm kwa kuitusi ccm kwa kuilinganisha na ukaburu. Mbowe si chochote ila yeye na chama chake ni vibaraka tu wa ubeberu.
 
Mandela hakuwa gaidi

USSR
Mandela alikua GAIDI kwa wakoroni MAKABURU kama Mbowe alivyo GAIDI kwenu MaCCM. na Marekani ilikubaliana na MAKABURU
Akafungwa maisha alikaa jela miaka 21.
MaCCM mnakaa tu humu kucha kutwa hata kujiosha mashombo mnajisahau mtajua wapi habari zinazohitaji akili kujifunza. MaCCM akili zenu hazina akili. Pumbavu kabisa.
 
Kama hujui ulisemalo kaa kimya

Hakuna mechi ya ligi kuu yoyote iliyochezwa hapo Kirumba siku hiyo, pía Mwanza yenyewe haikuwa na timu ligi kuu kwa msimu uliopita 2020-2021

..usijitie mjuaji, kulikuwa na mechi NYAMAGANA, huku Chadema wakizuiliwa kufanya kongamano kwa kisingizio cha Corona.

Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia.

Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala kuhifadhiwa ndani ya mfuko wa mwanasiasa yoyote. Maana kuna watu ambao tayari wameshawakabidhi wanasiasa akili zao, kiasi kwamba hawawezi kuwa na wazo lolote kinyume na wale wanaomiliki akili hizo.

Twende sasa... Ndugu zangu kuna baadhi ya watu wamekuwa wakijaribu kumfananisha mwenyekiti wa Chadema taifa mh Mbowe na aliekuwa mpambanaji wa kweli na mpigania uhuru wa Afrika kusini hayati Nelson.

Ingawa kila mtu anaweza kuwa na mawazo au mtizamo wake lkn kwangu mimi naona kuwa watu hao wanakosea sana. Naweza kutaja baadhi ya sababu zinazofanya nikatae kukubaliana na watu hao.

Sababu hizo ni :

[1] Hayati Nelson alikuwa tayar kuwapambania wa South Africa wote bila kujali rangi zao, makabila yao, dini zao, vyama vyao na itikadi zao. Wakati mh Mbowe anaonekana kupambania zaidi masilahi yake, masilahi ya baadhi ya ndugu zake, watoto wake na tumbo lake.

[2] Hayati Nelson alihamasisha mapambano akiwa mstari wa mbele na familia yake. Mh Mbowe alikuwa na tabia ya kuhamasisha mapambano au maandamano, huku yeye na familia yake wakitimkia Afrika kusini au Dubai kula bata nk.

[3] Hayati Nelson alijitolea kila alichonacho kusaidia mapambano, ili wananchi wake wapate uhuru wao. Mh Mbowe akitoa hata sh1000 ujue siku ruzuku akiingia tu anakata hela yake kwa kisingizio cha kukidai au kukikopesha chama.

[4] Mwisho kabisa wakati mzee Nelson amefungwa jela takriban miaka 27, wananchi wake na wanaharakati mbali mbali wa ndani na nje ya nchi yake walionekana kuguswa, na kumpambania kwa njia mbali mbali. Bongo toka mh Mbowe afungwe ni week ya tatu tu sasa, lkn tayar ashaanza kusahaulika mapema sana utafikiri hakuna mwanasiasa anaeitwa mbowe nchini.

So hizo ndio sababu za mimi kupingana na watu hao wanaojaribu kufananisha nguvu za gari na treni. Haya ndugu zangu mwenye vigezo vya kumlinganisha mh mbowe na aliekuwa mzee wetu hayati Nelson anakaribushwa kuchangia na kuweka vigezo vyake hapa. Asanteni.
Haswa!
 
Kwani ndugu inakupunguzia nini katika maisha yako ya kila siku pale mbowe anapoitwa mandela wa Tanzania? Je kwani baada ya mbowe kuitwa mandela ndipo bei za vitu zilipopanda au kodi kwenye kila huduma zilianzishwa?
Achana naye huyo mwache apambane kwanza na TOZO +×÷/= (Luku.simu. petrol naaa ??)
 
To give him the title "Mandela of Tanzania" is to elevate demon's character to that of an angel.
..mandela was a leader of an armed wing of the ANC, Umkhonto we Sizwe.

..They were responsible for numerous violent attacks on unarmed civilians, and sabotage on apartheid SA government installations.

NB:

..vyama vyote vya ukombozi vya Msumbiji, Zimbabwe, Angola, Namibia, na Afrika Kusini, vilitumia mbinu za kijeshi / kigaidi ktk kudai uhuru. Kwa mfano, ZAPU[ZIPRA] ya Joshua Nkomo wa Zimbabwe waliwahi kutungua ndege ya abiria ya Air Rhodesia na kupelekea vifo vya watu 40+.
 
Mandela alikua GAIDI kwa wakoroni MAKABURU kama Mbowe alivyo GAIDI kwenu MaCCM. na Marekani ilikubaliana na MAKABURU
Akafungwa maisha alikaa jela miaka 21.
MaCCM mnakaa tu humu kucha kutwa hata kujiosha mashombo mnajisahau mtajua wapi habari zinazohitaji akili kujifunza. MaCCM akili zenu hazina akili.
Pumbavu mwenyewe. Unafikiri kufungwa jela kama kibaraka na msaliti ndio ushujaa. Hakuna mlingano kati ya kufungwa mandela na kuwekwa rumande au kushitakiwa mbowe kwa ugaidi.
 
Pumbavu mwenyewe
Pumbavu mwenyewe. Unafikiri kufungwa jela kama kibaraka na msaliti ndio ushujaa. Hakuna mlingano kati ya kufungwa mandela na kuwekwa rumande au kushutumiwa mbowe kwa ugaidi.
..mandela alifungwa kwa ugaidi.

..chama cha anc kilikuwa na kikundi cha magaidi kinaitwa umkontho we sizwe.

..na kikundi hicho kilikuwa na makambi ya mafunzo maeneo mbalimbali ya Tanzania.
 
a.k.a iyo ni sawa tu hata akijiita au akiitwa Dalai Lima wa Tibet au T.Roosevelt n sawa tu iyo a.k.a
 
Kwanza ujue chadema ni chama chenye itikadi ya ubinafsi. Wanatumia uongo ulaghai na usaliti wa maslahi ya umma. Kumlinganisha mandela na mbowe ni kichekesho. Eti wanaigiza hadi nyimbo za anc za ukombozi na kuilinganisha ccm na ukaburu. Wapuuzi sana. Kwanza ccm ni zaidi ya anc ambayo ccm waliwalea na kuwapa kila msaada kuikomboa nchi yao. Hata anc wenyewe wanaishangaa cdm kwa kuitusi ccm kwa kuilinganisha na ukaburu. Mbowe si chochote ila yeye na chama chake ni vibaraka tu wa ubeberu.
Kwahiyo kumbe wanaomlinganisha Mbowe na baba wa taifa la afrika kusini wanakosea sana?
 
Back
Top Bottom