Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

Freeman Aikael Mbowe ni Mandela wa kizazi kipya. Ametoa maisha yake ili watanzania tupate haki zetu. Mungu akutie nguvu baba. Tunakuombea. Vumilia maumivu lakini kupitia kesi yako ya ugaidi wengi unatufungua akili.

Watawala matumbo moto. Wamefumbwa macho na akili wasione na kuacha uovu wao ili wapate linalowastahili. Mungu yupo kati ya wapenda haki.
 
Mbowe ni kinara wa siasa Tanzania.
na ndiyo maana ma CCM kwa kumhofia na kumuogopa Mbowe sasa wanamshauri 'azikubali' tuhuma za ugaid na uhujumu uchumi ili wamsamehe! …. lakini chini ya carpet lengo lao si kumsamehe bali ni kummaliza kisiasa, mtego wa kitoto………….
 
Mbona nyinyi FISIEMU kupitia waziri wa mambo ya ndani wakati huo Mwigulu Lameck Nchemba alisema yule aliemtishia bastola Mh Nape Nauye sio askari polisi,mwambie aje hapa aseme Tena .Au wewe unasemaje kauli ya Mwigulu
 
Freeman Aikael Mbowe ni Mandela wa kizazi kipya. Ametoa maisha yake ili watanzania tupate haki zetu. Mungu akutie nguvu baba. Tunakuombea. Vumilia maumivu lakini kupitia kesi yako ya ugaidi wengi unatufungua akili.

Watawala matumbo moto. Wamefumbwa macho na akili wasione na kuacha uovu wao ili wapate linalowastahili. Mungu yupo kati ya wapenda haki.
Mh._MBOWE_Akiwa_na__walinzi_wake.%0A%0A%23katibampya_%0A%23mbowesiogaidi_%0A%23tumehuruyauchag...jpg
 
Back
Top Bottom