Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

I didn't appointed you to become my Grammarian.
Your will remain with your foolishness

Nilishakwambia wewe una MTINDIO WA UBONGO!!
Mbona unazidi kujidhalilisha kwa unachoandika? Yaani hata mtoto wa Kindergarten school anakuzidi.....!!!! Shame on you!! Achana na Lugha za watu.....!!
 
Una elimu gani?
Umri wako tafadhali!
Hujui kuna balozi?
Balozi wa nyumba kumi?
Elimu yangu ni ya kujua kusoma na kuandika mkuu
Umri zaidi miaka 18
Najua balozi
Balozi wa nyumba kumi nawafahamu

Nimefurahi mipango ya chadema kwamba malipo ya mawakala ni teuzi😁😁😁
Kila siku nasema na tutaendelea kusema CHADEMA ni kama DECI 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom