“Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe maelezo & suluhisho haraka la sivyo uchaguzi huu utashindikana kuanzia hatua ya awali”. Freeman Mbowe.
“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.
Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.
Nilijia tu kwa kichapo na mafuriko ya JPM Mkoa wa Kilimanjaro jana na leo Arusha, husasani cha jana kule jimboni kwa DJ Hai, lazima leo waje na uzushi smart wa kutaka kuleta taharuki kwa wapiga kura kama kawaida yao wazee wa Ufipa. Wananchi wameshaamua kuchagua maendeleo ya kweli kwa JPM kubalini Basi mambo yaishe. Kama watu hamuwawezi unganeninao. #ukowapi Slaa chama kinamfia DJ ukuu#