Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

Kwa hiyo kosa lake la kupelekwa mahakamani ni hizi tuhuma zako au hizo za kusafirisha madawa ya kulevya toka Pakistan?
 
Kwa matusi haya kabla ya hukumu jaji mpige mvua ili waelewe kujifunza adabu hawa japo huwa hawasikii. Tena piga mvua mbele ya Mbowe. Wakishinda kesho watalikashifu sana taifa hili la Mungu
Hivi Taifa aliloongoza aliyeamuru huyu Mdude afungwe nalo lilikuwa ni Taifa la Mungu? Tangu lini Taifa la Mungu linaongozwa na mfuasi wa Ibilisi?
 
MIMI MWENZENU NINA SWALI HUWA LINANITATIZA SANA SIJAPATA MAJIBU NA NAOMBA WA KUNISAIDIA KUNIPA JIBU. NI HIVI: KUNA KAMANDA MMOJA MATATA SANA WA ENZI HIZO ANAITWA PAULINE GEKUL. ALIHAMA CHADEMA AKAENDA CCM, AKAPEWA UBUNGE HADI UWAZIRI NA MPAKA SASA NI WAZIRI. LAKINI PAMOJA NA HAYO YOTE ALIYOYAPATA TOKA CCM, NIKIMWANGALIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI HUWA NAMWONA HANA FURAHA KABISA. NINI KINAMSIBU HUYU NDUGU YETU? AKIWA KWENYE PUBLIC NI KAMA KUNA KITU KINAMSUTA VILE, NA ALIPOKUWA AKIAPA KUWA WAZIRI JUZIJUZI MBELE YA MAMA SAMIA HALI ILIKUWA HIYOHIYO. NI KAMA VILE ANAONA MUDA WA KUAPA NI MREFU MNO ANAONA AMALIZE HARAKA AONDOKE ZAKE. KUNA NINI NYUMA YA HALI HII? ANATESWA NA NINI?
 
Alimtuma kugawa madawa ya kulevya kanda ya kusini akakamatwa alafu leo anajifanya kwenda kusikiliza kesi yake.
 
Kwa matusi haya kabla ya hukumu jaji mpige mvua ili waelewe kujifunza adabu hawa japo huwa hawasikii. Tena piga mvua mbele ya Mbowe. Wakishinda kesho watalikashifu sana taifa hili la Mungu
Usimuombee binasamu mwenzio mabaya maana yanaweza kukurudia wewe mwenyewe. Sawaaa?
 
Ukiwa civilized educated kina mdude awakunyimi usingizi.Hana jeshi,hana silaha,hofu ya nn kwa mtu anaeojiondolea zake stress za maisha.Kama una deal na issues kelele za chura zinakunyimaje usingizi sasa.Hapo ni SAwa na kumzuia jogoo kuwika
 
Wangekuwa fair wangepima fingerprints za huo mzigo kama ni za mdude au aliwekewa.
 
Ukiwa civilized educated kina mdude awakunyimi usingizi.Hana jeshi,hana silaha,hofu ya nn kwa mtu anaeojiondolea zake stress za maisha.Kama una deal na issues kelele za chura zinakunyimaje usingizi sasa.Hapo ni SAwa na kumzuia jogoo kuwika
Lakini anauza madawa ya kulevya sasa
 
Na bado, kuna Sabaya, kipenzi cha ccm, mzalendo nambari moja, anateseka Kisongo, mwaka wa shuatani kwa mataga, huu!
Wote wale waliovuruga uchaguzi mkuu wamesambaratika woote kupitia maombi yetu.
Wengine awapo dunia, wengine jela, wengine utumbuzi, polepole bashiru hata sijui wapo wapi.
 
Mungu ibariki CHADEMA na watu wake wote
 
Hayo ni mashtaka mapya?Maana awali tumeambiwa anakesi yakusafirisha dawa za kulevya toka Pakistan na kuyauza maeneo ya viunga vya jiji la Mlowo Mbozi.Vipi tena na tuhuma mpya?
 
Ameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…