Freeman Mbowe kutoa Msimamo wa CHADEMA kuhusu Sakata la Bandari ya Dar es Salaam, leo Juni 7, 2023

Freeman Mbowe kutoa Msimamo wa CHADEMA kuhusu Sakata la Bandari ya Dar es Salaam, leo Juni 7, 2023

Yaani leo ndio kwa mara ya kwanza tangu Dr Slaa aondoke Chadema ndio nasikia Watu wanasema wanaosubiria kuwasikia Chadema wanasemaje

Hii Nchi bhana!
Bandari inakwenda kutuungajisha Watanzania.

Mbowe leo ni ama kurejesha heshima ya CHADEMA au kumpaisha mnafiki Zito
 
Back
Top Bottom