Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kila mmoja atege sikio lake , hamtajuta .
Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
watu 10 tu na ni alhamis kwa mujibu wa NdugaiYeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
Ok......nilidhani watu 10 kutoka Bungeni!watu 10 tu na ni alhamis kwa mujibu wa Ndugai
Majaliwa anaongoza maombi , huyu naye ulikumbuka kumueleza kuhusu maambukizi mapya ?hatutaki maambukizi mapya kwenye huo mkutano
Election gani?'Hali yake' baada ya election 2020 sijui itakuwaje ? Natafakari...ndo kinamfia hivyo
Wajinga wengi wanawaza kama wewe , lakini ukweli ni kwamba hawajawahi kufanikiwa'Hali yake' baada ya election 2020 sijui itakuwaje ? Natafakari...ndo kinamfia hivyo
Spika kasema atazikwa na watu 10Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
Yeye hayumo kwenye hao 10?Spika kasema atazikwa na watu 10
Anazikwa na Manispaa ya Kinondoni na idadi ni Kumi tuu, sijui kama atapata nafasi.Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
Aiseeeee !Anazikwa na Manispaa ya Kinondoni na idadi ni Kumi tuu, sijui kama atapata nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani amepewa kadi ya mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya mazishi?Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
Ameshazikwa leo asbh hayo mengine ni maigizo tuu..Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
Ohooooo !!!Ameshazikwa leo asbh hayo mengine ni maigizo tuu..
Mwache kamanda matumaini ya watz aungurume ..