johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbwa mama Jile 79!We mbwa unajua kua mwenyekiti wa mama rwakatare ambaye ni wa ccm hatahudhuria hayo mazishi!!??
Mbwa mama Jile 79!We mbwa unajua kua mwenyekiti wa mama rwakatare ambaye ni wa ccm hatahudhuria hayo mazishi!!??
Waziri wa afya alishaelezea jinsi mtoto wa mbowe alivyopata korona na hata Kama ni mbowe kukaa karantini alishakaa na mda wa wiki mbili ulishapita mitambo, uzwazwa ni kitu kibaya sana tuwe wafuatiliaji wa mamboAjieleze mwanae alitoa wapi corona ? Pili ajieleze kwa nini alificha na kuuguzia mwanawe ndani ya nyumba na yeye kwa makusudi akayoka kuzurura nje kuongea na vyombo vya habari huku akijua anatoka nyumba yenye mgonjwa Wa corona .lengo lilikuwa kusambaza virusi vya corona kwa makusudi
Pili atuambie yeye anasema alikiweka chini ya karantinn na familia yakei vipi kuhusu dereva wake na wasaidizi wake waliwekwa karantini?
Vipi kuhusu watoto waliokutana na mtoto wake aliyekuwa na corona?
Haya ndio atuekeze kwanza.Huyo mtoto wake ni mmoja Wa wasambaxi wakubwa Wa corona .Atoe majibu kwa hili kwanza
Hizi ni dalili za kiitelijensia za kuzuia huo mkutano. Yetu macho na masikio'Hali yake' baada ya election 2020 sijui itakuwaje ? Natafakari...ndo kinamfia hivyo
Kwani kutakuwa na mchaguzi mwaka huu? Au hujui maana ya uchaguzi? Poor you'Hali yake' baada ya election 2020 sijui itakuwaje ? Natafakari...ndo kinamfia hivyo
Sema huna muda msukule wa Lumumba!Mimi nitamsikiliza!Hatuna muda wa kusikiliza watu waliofilisika kisiasa sisi
Ahutubie nyumbu
MBOWE HUWANAMKUBALI SANA
Hivi RPC wa Dodoma ana umri gani ? inaruhusiwa kikongwe kuendelea kuajiriwa ?Jamaa ameshanguruma?
Jibu swali wewe. Mimi nimeuliza tu. Sasa wewe unaanza oh kikongwe sijui nini, hata sikuelewi.Hivi RPC wa Dodoma ana umri gani ? inaruhusiwa kikongwe kuendelea kuajiriwa ?
😆😆😆Jibu swali wewe. Mimi nimeuliza tu. Sasa wewe unaanza oh kikongwe sijui nini, hata sikuelewi.
Ummy mwalimu na yeye atueleze kwani mwana FA hushinda kwake mda mwingi hata siku alijitangaza alikuwa katoka kwake na lafanya mazoezi kwenye gym moja na Daud Bashite huko Oyestabay DsmAjieleze mwanae alitoa wapi corona ? Pili ajieleze kwa nini alificha na kuuguzia mwanawe ndani ya nyumba na yeye kwa makusudi akayoka kuzurura nje kuongea na vyombo vya habari huku akijua anatoka nyumba yenye mgonjwa Wa corona .lengo lilikuwa kusambaza virusi vya corona kwa makusudi
Pili atuambie yeye anasema alikiweka chini ya karantinn na familia yakei vipi kuhusu dereva wake na wasaidizi wake waliwekwa karantini?
Vipi kuhusu watoto waliokutana na mtoto wake aliyekuwa na corona?
Haya ndio atuekeze kwanza.Huyo mtoto wake ni mmoja Wa wasambaxi wakubwa Wa corona .Atoe majibu kwa hili kwanza
Jana CCM wamefanya mikusanyiko karimjee na waziri mkuu alikuwepo live, huko hukuambukizwa?
Hicho kibabu kinatakiwa kichunguzwe vyeti vyake vya kuzaliwaHivi RPC wa Dodoma ana umri gani ? inaruhusiwa kikongwe kuendelea kuajiriwa ?
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ndiyo wanyama wengi kama ilivyokuwa kwa wanachama wa CCM, Ummy kajidai kuficha ficha takwimu sasa corona inawaumbua huko huko Bungeni ndani na kwenye Tv yenu ya TBC na sasa mbunge wa Kinondoni yupo hoi anapigania roho yake.Bila shaka amekuwa muungwana wa kujitangaza kuwa ndiye Mbunge mwenye maambukizi ya Corona hivyo anakwenda kwenye isolation. Nyumbu was Ufipa jiandaeni kwa michango ya kumuweza kukaa kwenye isolation!