Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,281
We mbwa unajua kua mwenyekiti wa mama rwakatare ambaye ni wa ccm hatahudhuria hayo mazishi!!??Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
We mbwa unajua kua mwenyekiti wa mama rwakatare ambaye ni wa ccm hatahudhuria hayo mazishi!!??Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
JPM Yuko wapi?
Mmh!Ameshazikwa leo asbh hayo mengine ni maigizo tuu..
Mwache kamanda matumaini ya watz aungurume ..
Bila shaka amekuwa muungwana wa kujitangaza kuwa ndiye Mbunge mwenye maambukizi ya Corona hivyo anakwenda kwenye isolation. Nyumbu was Ufipa jiandaeni kwa michango ya kumuweza kukaa kwenye isolation!
Kumbe yule aliepo Chattle yupo kwenye self isolation?Bila shaka amekuwa muungwana wa kujitangaza kuwa ndiye Mbunge mwenye maambukizi ya Corona hivyo anakwenda kwenye isolation. Nyumbu was Ufipa jiandaeni kwa michango ya kumuweza kukaa kwenye isolation!
Yes!Ohooooo !!!
Matatizo yako ya kutokuwa updated hayanihusu.
Kikifa kwa kuwanunua wabunge wake? au kwa uchakachuaji mnaoenda kumfanyiaChama kinaenda kumfia mikononi hivi hivi tukishuhudia....!
Mtoto wake amewaambukiza watu mpaka badi
Hakika !Ccm wawe wasikivu this time
Ona hii CoronaMtoto wake amewaambukiza watu mpaka badi
Acha uongo , kama wameambukizwa corona mbona wanakufa kwa Presha ?Mtoto wake amewaambukiza watu mpaka badi
Unakataa nn mtoto wa Mbowe ametumika kama kibaraka cha kuambukiza watuAcha uongo , kama wameambukizwa corona mbona wanakufa kwa Presha ?
Kikifa kwa kuwanunua wabunge wake? au kwa uchakachuaji mnaoenda kumfanyia
Wasiozidi kumi!Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
Hapo sawa
Yeye haendi kwenye mazishi ya mama Rwakatare?
'Hali yake' baada ya election 2020 sijui itakuwaje ? Natafakari...ndo kinamfia hivyo
Chama kinaenda kumfia mikononi hivi hivi tukishuhudia....!