Freeman Mbowe kuunguruma Dodoma. Mazito kuibuliwa, msihofu kuhusu corona Tahadhari zote zimechukuliwa

Hatuna muda wa kusikiliza watu waliofilisika kisiasa sisi

Ahutubie nyumbu
 
Waziri wa afya alishaelezea jinsi mtoto wa mbowe alivyopata korona na hata Kama ni mbowe kukaa karantini alishakaa na mda wa wiki mbili ulishapita mitambo, uzwazwa ni kitu kibaya sana tuwe wafuatiliaji wa mambo
 
vip mpaka sasa hamna SASISHO??

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Ummy mwalimu na yeye atueleze kwani mwana FA hushinda kwake mda mwingi hata siku alijitangaza alikuwa katoka kwake na lafanya mazoezi kwenye gym moja na Daud Bashite huko Oyestabay Dsm
 
Huyo jamaa anahutubia kina nani aisee.
 
Bila shaka amekuwa muungwana wa kujitangaza kuwa ndiye Mbunge mwenye maambukizi ya Corona hivyo anakwenda kwenye isolation. Nyumbu was Ufipa jiandaeni kwa michango ya kumuweza kukaa kwenye isolation!
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ndiyo wanyama wengi kama ilivyokuwa kwa wanachama wa CCM, Ummy kajidai kuficha ficha takwimu sasa corona inawaumbua huko huko Bungeni ndani na kwenye Tv yenu ya TBC na sasa mbunge wa Kinondoni yupo hoi anapigania roho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…