Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

Mbowe hajawahi kuwa na mvuto
 
anazungumza nini m/kiti wa maisha?
hivi kuna taasisi nyingine duniani
kiongozi wake amedumu kwa miaka 21?
 
Anazungumzia abrakadabra nyingi, all in all anarudi kwenye target kumsigina Lissu. Anayumba sana kwenye maswali anayoulizwa, na hao watangazaji wameshindwa kumbana vema ajibu maswali yao, wanamuacha tu a flow mpaka anatoka nje ya swali la msingi
 
By the way anavyoongea kuna point anaonekana kukata tamaa, kama vile anakubali mabadiliko wajumbe watakavyoamua. Halafu hii coverage ni kama anaaga aga hivi, maana anazungumzia historia ya chadema, mafanikio na na changamoto chadema iliyopitia pamoja na yeye binafsi kupitia changamoto za kisiasa. Ni kama ana aga aga hivi, atakubali kushiondwa?
 
Mbowe nae kazidi, apumzike sasa. Akichaguliwa tena nahama siasa za upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…