milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Katibu inasema ajiuzulu?Ajiuzulu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu inasema ajiuzulu?Ajiuzulu tu
Kuna watu wa kusikiliza machawa?Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
mimi ndiyo ninasemaKatibu inasema ajiuzulu?
Umeanza kuokota makopomimi ndiyo ninasema
Kama chama cha upinzani kinapigania demokrasia, basi demokrasia inanze kuonekana kwenye chama husikaUmeanza kuokota makopo
Huyu ana pesa si MBANGAIZAJI KAMA WENGINE.Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Aliyekuambia Kuna demokrasia Africa,amekudanganyaKama chama cha upinzani kinapigania demokrasia, basi demokrasia inanze kuonekana kwenye chama husika
Wewe ni Mjumbe mpiga kura?Binafsi ninachotaka kusikia toka kwake ni yeye kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti basi.
Hiyo sasa ni mada mpya yenye facts tofauti, tunachotaka FAM ajiuzulu, huwezi kuongoza miaka 20 peke yako. Nchi hii ina watu zaidi ya Milion 60, ina maana wanachama wote wa CHADEMA ni vilaza?Aliyekudanganya Kuna demokrasia Africa,amekudanganya
Hivi wewe ni Reginald Munisi au John Mrema? Ni hivi utawala wenu wa kikabila na ulaji umeisha. Mjiandae tu kupisha ofisi maana Lissu anaisuka upya secretariat ya chama.Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Huyo mropokaji na mzururaji ndiye anafaa kuwa MwenyekitiTAL ni mropokaji na mzururaji
Wa TLP sio chademaHuyo mropokaji na mzururaji ndiye anafaa kuwa Mwenyekiti
Mtamremba sana lakini ameshajichafua kwa kukubali kufadhiliwa na CCM.Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.