BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Ndo jibu Hilo Tena jibu sahihi Chadema wote ni vilaza mwenye akili ni Mbowe tu ndo maana anawaswaga kondoo for 20 yrs 😂😂😂Hiyo sasa ni mada mpya yenye facts tofauti, tunachotaka FAM ajiuzulu, huwezi kuongoza miaka 20 peke yako. Nchi hii ina watu zaidi ya Milion 60, ina maana wanachama wote wa CHADEMA ni vilaza?
Kapatikana mwingine mwenye Akili anaitwa mhaini.
Ili uwe mwanachadema mzuri ni kukubali kuongozwa na Mbowe milele