Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

Huyu ana pesa si MBANGAIZAJI KAMA WENGINE.
 
Hivi wewe ni Reginald Munisi au John Mrema? Ni hivi utawala wenu wa kikabila na ulaji umeisha. Mjiandae tu kupisha ofisi maana Lissu anaisuka upya secretariat ya chama.
 
Mtamremba sana lakini ameshajichafua kwa kukubali kufadhiliwa na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…