milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Ukumbuke CDM ni chama kidogo sana !Kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, wenje, Boniface na wenzao tayari wamesuka mipango yote ya kumhujumu Lisu kumwubia kura kupora ushindi na mambo mengineyo ya hovyo
Hofu ya mbowe ni kubwa sana kwa sasa yupo tayari kuuza figo yake hadi afanikiwe kuwa mwenyekiti tenaAkiikosa hii nafasi mahakamani ataenda aisee na jela kabisa
Atatuvusha wakati kashatuuza, hafai tena yule mkuuMbowe atatuvusha
Hakika yaani TAL akikalia kiti yule hela zote za chama atazitapika na kufirisika kabisa. Kumbe FAM ni mnafiki kupindukia aisee binadamuHofu ya mbowe ni kubwa sana kwa sasa yupo tayari kuuza figo yake hadi afanikiwe kuwa mwenyekiti tena
Asali imewazidia utamu mkuu mpaka hawajui wanachoandika 🤣🤣🤣Chawa wa mbowe wamekula pesa za mbowe wamelewa wamejitoa fahamu zote wapo busy kumtetea Mbowe hovyo bila kujali chochote na hawajui kuwa wanaendelea kumshusha mbowe zaidi
Alafu FAM wala haendi kwenye radio stations kuongea 😅😅😅Uzuri Mbowe sasa anajulikana anaenda kuongea nini hata kabla hajaongea hivyo ni bora chawa wake wamzuie mapema kuepusha Aibu zaidi
Mbowe must goFreeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Tunafuatilia mkuu, kwa sasa sisi wajumbe wa Mkutano mkuu tunasikiliza kila mgombea ili kuwapimaFreeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Kinachouma ni kukataa kuruhusu damu changa au mpya itawale chamaUpepo umekataa kabisa halafu ni ile lafudhi yake ya Kichaga anavyoongea sasa hivi typically anaonekana ni tapeli pro.
Ana biashara zisizo kuwa na TIN number sasa damu changa zitaharibu hizo biasharaKinachouma ni kukataa kuruhusu damu changa au mpya itawale chama
Hii inatia shaka sana
Molemo media inaegemea upande wa MboweFreeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
NITAFURAHI SANA ENDAPO ATAJITOA KATIKA KINYANGANYIRO HICHO.Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Haahaa mbowe kiukweli muda umempita, asome alama za nyakati.. sio vizuri kuondoka madarakani huku umechokwaaFreeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Amegoma katakata, Yaani Sijui mbowe amepatwa na nn?NITAFURAHI SANA ENDAPO ATAJITOA KATIKA KINYANGANYIRO HICHO.
..kwa mbowe unaota mkuu, mbowe anatamani chadema ife ndani yakeBinafsi ninachotaka kusikia toka kwake ni yeye kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti basi.
Mwanasiasq mwemye mvuto gani, wa kimapenzi ama!!!!Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.